Kukimbia kwa Putin, Siri imefichuka

Kukimbia kwa Putin, Siri imefichuka

Mbona mkulu wa Kaya hatujawahi sikia hata akivaa zile za wagambo tu naye akapiga picha?
Fatilia CV ya huyu jamaa vizuri ndipo utapojua kuwa huyu mkuu ni next level
huyu jamaa wa austarlia angethubutu kujichanganya ange enguliwa mano yake mpaka meno ya sebureni.

Ilikuwa vikao vikiisha ndo kinukishwe lakin putin akasepa mapema kwa woga
 
Last edited by a moderator:
Masikini sexer, baada ya kusoma mada yako nimegundua hujui hata chembe ya international politics wala international protocols. Ebu soma hapa uelimike:

A tired Vladimir Putin has left Brisbane’s G20 praising the summit’s 'constructive atmosphere' and saying the reported fallout between him and leaders of Western countries were exaggerated by the media. Putin was the first world leader to leave Australia, his jet taking off shortly after 2pm local time. The Russian president told reporters from his own country he was the first to go because he had to get back to Moscow to work, and he needed 'four or five hours sleep'.

Putin said his early departure from the Brisbane summit was unrelated to perceived tensions with other leaders. He said he spoke personally to the Australian prime minister, Tony Abbott, and explained he had to undertake an 18-hour flight to get home before going back to work on Monday. 'We have to fly from here to Vladivostok nine hours, and then from Vladivostok to Moscow, another nine hours', Putin told reporters. 'I came to Tony and told him about it, he understood this. There are no other considerations.'

Source: Vladimir Putin first to leave G20 summit, pleading lack of sleep | World news | The Guardian

Za kuambiwa changanya na za kwako, putin alikuwa amechoka?! Yaani viongozi wote pale yeye tu wakuchoka eti! Na aliyetoka washington->china->myanmar->australia je? Jibu unalo.
Putin alikuwa na safari ndefu?! Hivi australia to russia na australia to england ama australia to USA wapi mbali? Jibu mukichwa chako, putin anawahi kazini?! Wale waliobaki ni jobless eti! Yaani ziara zote alizowahi kufanya ikiwemo na hii mikutano ya G-20 alikuwa anakaa hadi mwisho iweje hii ambayo ilikuwa hatari ya yeye kupigwa atoke kabla eti anawahi kazi?! Jibu kwa ubongo wako.
Najua ilikuwa vigumu kwa putin kuweka wazi ndo maana akatumia visingizio
 
Mbona mkulu wa Kaya hatujawahi sikia hata akivaa zile za wagambo tu naye akapiga picha?
Fatilia CV ya huyu jamaa vizuri ndipo utapojua kuwa huyu mkuu ni next level
huyu jamaa wa austarlia angethubutu kujichanganya ange enguliwa mano yake mpaka meno ya sebureni.

ImageUploadedByJamiiForums1416240811.875017.jpg
Hata jkt hatapita
 
Last edited by a moderator:
Putin huyu huyu V.I au yupi huyo anayekimbia ugomvi??!!!
MeinKempf kakuwekea still pics kama huamini tafuta motion utaona kama anaweza au la!!!????
 
Last edited by a moderator:
Za kuambiwa changanya na za kwako, putin alikuwa amechoka?! Yaani viongozi wote pale yeye tu wakuchoka eti! Na aliyetoka washington->china->myanmar->australia je? Jibu unalo.
Putin alikuwa na safari ndefu?! Hivi australia to russia na australia to england ama australia to USA wapi mbali? Jibu mukichwa chako, putin anawahi kazini?! Wale waliobaki ni jobless eti! Yaani ziara zote alizowahi kufanya ikiwemo na hii mikutano ya G-20 alikuwa anakaa hadi mwisho iweje hii ambayo ilikuwa hatari ya yeye kupigwa atoke kabla eti anawahi kazi?! Jibu kwa ubongo wako.
Najua ilikuwa vigumu kwa putin kuweka wazi ndo maana akatumia visingizio

Acha ujinga wewe na una akili ndogo sana. na hili si jukwaa la watu wenye akili fupi, ampige ili iwe vipi?
 
Mtu akiandika.----- kama huu sijui anatumia miguu
 
Mtoa mada hata division five inaonekana hajapata!
 
hata sijamuelewa mtoa mada...kama anahadithia watoto wa darasa la saba vile..
 
Mwalimu akamwambia "Rashidi funika kikombe" ha ha ha ha...
 
Acha uongoo wewee mtoaa madaaa viloba hvyoo toaa madaa inayojengaaa siooo kubomoaaa mjingaa weweee unadhanii kunaa mtuu wa kumtisha putin ktk dunia ya sasa
 
Hivi hata kama una upeo mdogo,hi ni habari ya kuletea wanaume kabisa na tena unaitetea kabisa
 
Imefahamiki viongozi wa mataifa ya G-20 hawajakasirika kwa kitendo cha rais wa Russia bwana Vladimir Putin kuvunja protocal kwa kuondoka kabla ya muda unaotakiwa katika mkutano wa viongozi hao uliomalizika huko australia, bali viongozi hao wanamlaumu waziri mkuu wa Australia bwana Tony Abbott kwa kusababisha hali hiyo.

Ikumbukwe hapo mapema kabisa bwana Abbott aliweka wazi kabisa kwamba akikutana na putin kwenye 18 zake lazima ampe kipondo, tangu Tonny atoe kauli hiyo mara ya kwanza wamekutana china lakini hakutekereza kauli yake, nadhani ilikuwa nje ya 18, na mara ya pili ndo wamekuta huko Australia ndani ya 18 zake ndipo ndipo alipotaka kutekeleza kusudio lake lakini jitahada kubwa za kumshawishi aachane na hilo suala zilifanyika zikiongozwa na Obama na rais Xi zilifanikiwa kiasi ingawa kwa muda tu ambapo PM Tonny aliamua kumuacha Rais Putin afanye kwa shughuli zake zilizopeleka huko ambao ni mkutano wa G-20 baada ya hapo kichapo kipo palepale.

Pamoja na jitihada za Putin mwenyewe na kumtegemea Rais wa China kusawazisha mambo lakini Rais wa China hakuonekana kujali sana sababu wachina pia walikuwemo kwenye ndege aliyoidungia putin huku PM Tonny akiendelea kusisitiza kipondo kiko palepale.

Hapo ndipo Rais Putin alipoamua kuchoropoka kabla ya muda ili kuepuka kisago.

Sasa kila kiongozi anamlaumu Tonny kwa kukosa busara katika kuamua mambo.

Mbona huna fikra katika kuandika habari zako,haujuo kama Putin ni Black Belt?

Next tym kadanganye vijiwani mana JF ina members wenye akili za kueleweka na uwezo mzuri wa kufikiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom