Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Wakuu leo nimeamka shingo inauma kinomanoma, misuli imekaza siwezi kugeuka kulia (nikigeuka inabidi nigeuke mwili mzima kama roboti😀😀).
Nipeni solution ya chapchap wakuu. Nimejisugua eneo husika na mafuta ya mzeituni yaliyochanganywa na mafuta mengine mengine pia nijikandakanda na maji vuguvugu na hujaribu kufanya mazoezi ya shingo lakini sioni nafuu ya kuonekana.
Kipi kingine naweza fanya kama firts aid?