Kukatika umeme mount meru hospital

Kurutamjanja

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
396
374
Wadau Hii Inchi ilipofikia Haki ya mungu kama Hatuna Uongozi kabisa. Hii imetokea mm Mwenyewe nikiwa Wodini nimelazwa katika Hospital ya mkoa Wa Arusha Mount Meru haki ya mungu umeme umekatika tangu Saa tano Usiku hadi Asubuhi. Aisee hii ni Hatari sana. Nimeshindwa kuelewa je Hakuna Generator au ni uzembe na uuaji tu. Tukio hili limetokea Trh 29 Jun 15. Sasa kama mtu anatumi mashine ya kupimulia si ndio amekufa hapo. Hatari sana Nchi hii.
 
Sijaelewa
 
Mimi ningekuwa rais ninge mfukuza waziri, mkurugezi wa tanesco,afisa habari wa tanesco, wange kalia kuti kavu,
 
Back
Top Bottom