misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,645
- 9,341
Hilo daraja lipo nchi gani vile?Rais wa Nchi anaenda kukagua Daraja????
Kipaumbele kwetu Nini hasa???
Hilo daraja lipo nchi gani vile?Rais wa Nchi anaenda kukagua Daraja????
Kipaumbele kwetu Nini hasa???
Kikwete utabeba lawama na laana zote kwa kutuletea maafa. You were a weak president indeed!
Kwani hayo madaraja yalijengwa kipindi gani? Tumtafute mchawi. Kama na yeye hata logekaWakuu,
Nipo nasikiliza hapa redio na imehabarisha kwamba kutokana na daraja la Kiyegeya linalounganisha kati ya Morogoro na Dodoma kusombwa tena na maji, mzee baba kaamua kwenda mwenyewe kujua mbivu na mbichi. Amenukuliwa akisema kwamba kwa wahusika wote wajihesabu hawana kazi na ameitaka TANROADS kuhakikisha hakuna barabara inayounganisha kati ya mkoa na mkoa,mji na mji ikisombwa na maji kwa namna yoyote.
Nitaendelea kusasisha kutokana na taarifa ninavyozipata.
Pia soma
Daraja linalounganisha Dodoma na Morogoro limevunjika, hakuna mawasiliano ya barabara
Kubomoka kwa daraja la Kiyegeya: Meneja Tanroads Morogoro arudishwa Wizarani
Mawasiliano kati ya Dodoma na Morogoro yamekatika tena
Rais wa Nchi anaenda kukagua Daraja????
Kipaumbele kwetu Nini hasa???
acha chuki. Kuna ubaya gani?
Kikwete Kaleta Mvua nyingi?Kama ni kufukuzana kwasababu ya kukatika madaraja basi wasiishie kiyegeya hii nchi sehemu nyingi tu madaraja yanaenda na maji Ba sababu ni mvua za mwaka huu zimezidi.Kikwete utabeba lawama na laana zote kwa kutuletea maafa. You were a weak president indeed!
Huu mfumo wa uongozi siyo mzuri, yaani ili kila kitu kifanyike ni lazima Rais ndiyo ashughulike!! Viongozi wahusika hawana nguvu, hawasikilizwi au hawana uwezo hii ni ajabu
Mbona PM alienda imeshindikana au, Rais atashughulikia mangapi nchi hii yote kama kila kitu ni lazima aseme
Huu mfumo ni vyema urekebishwe kila kiongozi atimize wajibu wake kikamilifu na hatua zichukuliwe kukiwa na uzembe
Mvua zimekua nyingi karibu miezi sita sasa ni mabadoliko ya hali ya hewa..na hakuna aliyetarajiKuna watu watamwaga unga reo reo
Mi ninachoona hapo tatizo ni MFUGALE kwakuwa anateuliwa na mh Rais ndo maana mzee baba kaamua kwenda kumaliza mwenyewe!Huu mfumo wa uongozi siyo mzuri, yaani ili kila kitu kifanyike ni lazima Rais ndiyo ashughulike!! Viongozi wahusika hawana nguvu, hawasikilizwi au hawana uwezo hii ni ajabu
Mbona PM alienda imeshindikana au, Rais atashughulikia mangapi nchi hii yote kama kila kitu ni lazima aseme
Huu mfumo ni vyema urekebishwe kila kiongozi atimize wajibu wake kikamilifu na hatua zichukuliwe kukiwa na uzembe
Yeye ndo anapenda ndo maana watendaji wa chini wanamsubiri yeye kwa kila kituRais wa Nchi anaenda kukagua Daraja????
Kipaumbele kwetu Nini hasa???
Kuna watu watamwaga unga reo reo
Hajaenda kuwajulia hali akina Ester Bulaya na Halima Mdee waliovunjwa miguu na mikono?
Sasa tuone kama kweli Mfugale na Kamwele wata tumbuliwa maana Magufuli amewalea Sana Hawa 2 mpaka huyo Mfugale kupewa heshima ya flaiova ya 'mfugale"....!