mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,076
- 4,113
Stori hizo umeshawahi sikia kawahi tumbua wizara yake,hawezi mgusa Mfugale hio ni ndotoWakuu,
Nipo nasikiliza hapa redio na imehabarisha kwamba kutokana na daraja la Kiyegeya linalounganisha kati ya Morogoro na Dodoma kusombwa tena na maji, mzee baba kaamua kwenda mwenyewe kujua mbivu na mbichi. Amenukuliwa akisema kwamba kwa wahusika wote wajihesabu hawana kazi na ameitaka TANROADS kuhakikisha hakuna barabara inayounganisha kati ya mkoa na mkoa,mji na mji ikisombwa na maji kwa namna yoyote.
Nitaendelea kusasisha kutokana na taarifa ninavyozipata.
Pia soma
Daraja linalounganisha Dodoma na Morogoro limevunjika, hakuna mawasiliano ya barabara
Kubomoka kwa daraja la Kiyegeya: Meneja Tanroads Morogoro arudishwa Wizarani
Mawasiliano kati ya Dodoma na Morogoro yamekatika tena
Atabeba lawama za wachache, atasifiwa na wengi. MkajiueKikwete utabeba lawama na laana zote kwa kutuletea maafa. You were a weak president indeed!
Sisi tumemchagua kwa kazi hiyo, hutaki hama nchi.Rais wa Nchi anaenda kukagua Daraja????
Kipaumbele kwetu Nini hasa???
Watu kama nyie (retard) bado mnayo haki pia ya kuishi. Enjoy life Mr Taahira!
Hiyo ni kazi yake, hata akienda waziri ni kama katumwa naye.Rais wa Nchi anaenda kukagua Daraja????
Kipaumbele kwetu Nini hasa???
Daraja ndio limepewa kipaumbele, lakini maafa kama mafuriko, tetemeko na vimbunga yanayo ondoa maisha ya watu kwake hayana umuhimu kwenda.
Ziko dalili kuwa bado anahisi ni Waziri wa Ujenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
acha chuki. Kuna ubaya gani?Rais wa Nchi anaenda kukagua Daraja????
Kipaumbele kwetu Nini hasa???