Wamesema mwekezaji ameshapatikana na amekubali kuingia mkataba na TANESCO kwa sharti la ubia.Bado wako kwenye mazungumzo na hali hii ya kukatikatika umeme utaambiwa tunahitaji mwekezaji. Kama walivyoivuruga BRT
Hakuna makampuni ya tanzania yanayoweza.Sasa inakuwaje fursa kama hizi za kuunda ajira kwa wazawa tuwaite watu wa nje waje kutufanyia kazi? Sielewi asee.
Hapana aisee, kuna ukomo flani wa teknolojia uliopo kwenye nchi maskini.Sasa hii si kazi ya vijana wa DIT tu
Tangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si ajabu kuona umeme umekatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa saba usiku.
Je, ndio mmeanza hujuma zenu ili ku justify kuwapa hawa wahindi tenda ili mpige cha juu? Hivi hamridhiki na mlizopiga hadi sasa hivi tokea tupate uhuru? Enyi CCM ioneeni huruma nchi yenu nakizazi kijacho, duniani tu apita tu vyote tutaviacha hapa hapa.
Nani atamfunga paka kengele?Polepole alisema ili tuendelee inabidi tufundishane adabu ,nami namuunga mkono hii nchi inabidi tufundishane adabu ili huu ujinga uishe ,tufanye kama China au Singapore mtu akifanya ujinga analiwa kichwa tu....yaani ukigundua kama mtu akata umeme kusudi ili wapitishe tena kwa ADANi ni kumpiga kitanzi tu .tukifanya hivyo kwa watu wawili au watatu nchi itanyooka.
Katika ripoti ya kurasa 106 iliyotolewa mnamo Januari 25, 2023, Hindenburg ilishutumu Kundi la Adani la Gautam Adani kwa "udanganyifu wa hisa na mpango wa udanganyifu wa uhasibu katika kipindi cha miongo kadhaa". Ripoti hiyo ilichapishwa kabla ya ofa ya kufuata ya umma ya Rupia 20,000-crore (FPO) ya Adani Enterprises Ltd.13 Ago 2024.Tangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si ajabu kuona umeme umekatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa saba usiku.
Je, ndio mmeanza hujuma zenu ili ku justify kuwapa hawa wahindi tenda ili mpige cha juu? Hivi hamridhiki na mlizopiga hadi sasa hivi tokea tupate uhuru? Enyi CCM ioneeni huruma nchi yenu nakizazi kijacho, duniani tu apita tu vyote tutaviacha hapa hapa.
Hawa Wahindi tuliwahi kuwapa TRC ikawa TRL tukitegemea mabadiliko ya teknolojia lakini kilichotokea kila mtu anajua. Walichukua treni bora wakapeleka kwao,hapa wakaleta takataka zao. Ajabu sasa hivi sisi wenyewe tumeweza kuiinua TRC hadi kuwa na treni bora za kisasa.Hapana aisee, kuna ukomo flani wa teknolojia uliopo kwenye nchi maskini.
Mkuu....Wamesema mwekezaji ameshapatikana na amekubali kuingia mkataba na TANESCO kwa sharti la ubia.
PPP iko on fire chini ya commissioner David Kafulila
Ni sisi wananchi tupige kelele matendo ya wizi/rushwa ipo siku watasikia.Nani atamfunga paka kengele?
2023 March 3, Ripoti ya Hindenburg ilishutumu Adani Group kwa kujihusisha na upotoshaji mkubwa wa bei ya hisa, kuzidisha thamani ya mali zao kwa uwongo, na kudhibiti zaidi ya 75% ya hisa zao kupitia mashirika tofauti ya nje ya pwani yanayodhibitiwa na Kundi.Hawa Wahindi tuliwahi kuwapa TRC ikawa TRL tukitegemea mabadiliko ya teknolojia lakini kilichotokea kila mtu anajua. Walichukua treni bora wakapeleka kwao,hapa wakaleta takataka zao. Ajabu sasa hivi sisi wenyewe tumeweza kuiinua TRC hadi kuwa na treni bora za kisasa.
Kuna wajuzi wataamua kuwapa tena hawa wahindi hata hii SGR.
Wahindi hawa kwao wana mgao mkali sana wa umeme kwanini wasianzie kwao huko kurekebisha umeme. Ni kama kuwapa TRC wakati kwao treni zinapakia watu hadi darini.
Kipaumbele ni 10%2023 March 3, Ripoti ya Hindenburg ilishutumu Adani Group kwa kujihusisha na upotoshaji mkubwa wa bei ya hisa, kuzidisha thamani ya mali zao kwa uwongo, na kudhibiti zaidi ya 75% ya hisa zao kupitia mashirika tofauti ya nje ya pwani yanayodhibitiwa na Kundi.
Hii nchi yetu imekua kichwa cha wenda wazimu hata tunakaribisha makampuni ya upigaji na matapeli wa kimataifa kuja kuzidi kutu nyonya mazee...🤨
ADANI huyo huyo mwenye aliye pewa TICS?Tangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si ajabu kuona umeme umekatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa saba usiku.
Je, ndio mmeanza hujuma zenu ili ku justify kuwapa hawa wahindi tenda ili mpige cha juu? Hivi hamridhiki na mlizopiga hadi sasa hivi tokea tupate uhuru? Enyi CCM ioneeni huruma nchi yenu nakizazi kijacho, duniani tu apita tu vyote tutaviacha hapa hapa.
Pia soma
- David Kafulila atolea ufafanuzi wa Adani kuwekeza katika Miundombinu ya Umeme kwa Ubia
Ndio mkuu....ADANI huyo huyo mwenye aliye pewa TICS?
Huyo mhindi halafu yupo kimya kimya, huu ukanda wetu ni bonge la shamba wanalikimbilia balaaYeah. Na Kenya wanapambana nae anachukua Jomo Kenyata Airport.