Kukatika ovyo kwa Umeme VS Adani

Kukatika ovyo kwa Umeme VS Adani

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,817
Reaction score
129,693
Tangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si ajabu kuona umeme umekatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa saba usiku.

Je, ndio mmeanza hujuma zenu ili ku justify kuwapa hawa wahindi tenda ili mpige cha juu? Hivi hamridhiki na mlizopiga hadi sasa hivi tokea tupate uhuru? Enyi CCM ioneeni huruma nchi yenu nakizazi kijacho, duniani tu apita tu vyote tutaviacha hapa hapa.

Pia soma
- David Kafulila atolea ufafanuzi wa Adani kuwekeza katika Miundombinu ya Umeme kwa Ubia
 
Yaani baada ya kuwa na umeme wa uhakika ndio wanakuja wawekezaji? Wanawekeza katika umeme wa upepo, makaa ya mawe, gas ama ni huu huu wa akina Marehemu Magufuli?
Wanasema wanaleta msamvazaji

Kuwa umeme tumeweza kuzalisha ila kusambaza hatuwezi

Uongo mijini Tanesco wameweza kusambaza na vijijini REA wamesambaza almost vijiji vyote Tanzania

Sasa huyo mwekezaji wanataka asambaze umeme kwenda kwa hawara zao vitandani au wapi? Anasambaza kupeleka wapi? Kama sio deal.tu za wezi
 
Tangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si ajabu kuona umeme umekatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa saba usiku.

Je, ndio mmeanza hujuma zenu ili ku justify kuwapa hawa wahindi tenda ili mpige cha juu? Hivi hamridhiki na mlizopiga hadi sasa hivi tokea tupate uhuru? Enyi CCM ioneeni huruma nchi yenu nakizazi kijacho, duniani tu apita tu vyote tutaviacha hapa hapa.
Sakata lingine huko mbeleni

Ova
 
20241003_091727.jpg
 
Wanasema wanaleta msamvazaji

Kuwa umeme tumeweza kuzalisha ila kusambaza hatuwezi

Uongo mijini Tanesco wameweza kusambaza na vijijini REA wamesambaza almost vijiji vyote Tanzania

Sasa huyo mwekezaji wanataka asambaze umeme kwenda kwa hawara zao vitandani au wapi? Anasambaza kupeleka wapi? Kama sio deal.tu za wezi
Na kama nchi inalialia ajira hakuna

Sasa inakuwaje fursa kama hizi za kuunda ajira kwa wazawa tuwaite watu wa nje waje kutufanyia kazi? Sielewi asee.

Lakini ukiangalia kwa upande mwingine sio viongozi tu bali ni watu wote,wananchi wite ndiyo tabia zetu🤔

Kama ambavyo mwananchi akipata mtaji hawazi kuzalisha bali anawalipa watu wa China na Zambia wamzalishie bidhaa aje auze tu, ndivyo hivyohivyo na viongozi kutowaza kujenga vitu na kuwapatia watu wafanye wao wawasilishe tu kwa wananchi. UVIVU.
 
Tangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si ajabu kuona umeme umekatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa saba usiku.

Je, ndio mmeanza hujuma zenu ili ku justify kuwapa hawa wahindi tenda ili mpige cha juu? Hivi hamridhiki na mlizopiga hadi sasa hivi tokea tupate uhuru? Enyi CCM ioneeni huruma nchi yenu nakizazi kijacho, duniani tu apita tu vyote tutaviacha hapa hapa.
Tayari.
 
Wanasema wanaleta msamvazaji

Kuwa umeme tumeweza kuzalisha ila kusambaza hatuwezi

Uongo mijini Tanesco wameweza kusambaza na vijijini REA wamesambaza almost vijiji vyote Tanzania

Sasa huyo mwekezaji wanataka asambaze umeme kwenda kwa hawara zao vitandani au wapi? Anasambaza kupeleka wapi? Kama sio deal.tu za wezi
Njia za kupiga hela tu.
 
Yaani baada ya kuwa na umeme wa uhakika ndio wanakuja wawekezaji? Wanawekeza katika umeme wa upepo, makaa ya mawe, gas ama ni huu huu wa akina Marehemu Magufuli?
Huo huo wanawasaidia kusambaza. Na unakatikakatika hovyo unaambiwa sababu ni njia kuukuu hivyo meekezaji anahitajika kuboresha.
 
Labda hao wawekezaji walete teknologia mpya, umeme ukinunuliwa uingie moja kwa moja kwenye Luku, kuleta agenda zilezile za kizamani hapana.
Wanatafuta upigaji.
Technology ya umeme kuingia moja kwa moja waliileta, lakini iliwashinda njia ya kuifikisha kwa umma ili watupige. Walizifunga chache nazo wakazing'oa
 
Tangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si ajabu kuona umeme umekatika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa saba usiku.

Je, ndio mmeanza hujuma zenu ili ku justify kuwapa hawa wahindi tenda ili mpige cha juu? Hivi hamridhiki na mlizopiga hadi sasa hivi tokea tupate uhuru? Enyi CCM ioneeni huruma nchi yenu nakizazi kijacho, duniani tu apita tu vyote tutaviacha hapa hapa.
Nilidhani ni kwetu hujui ndio umeme unakatika ovyo,Sasa hayo mamitambo ya Nyerere yanafanya Nini,Tena? Tanzania nzuri Dana aisee
 
Umeme kukatikatika hovyo haina maana ni upungufu. Umeme upo wa kutosha. Wanaandaa mazingira tuone kuna changamoto kwenye usambazaji.
 
Back
Top Bottom