Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
Asema yeye alikuwepo, substation ya kurasini, umeme ulipokatika walitegemea genereta ya U/taifa itawashwa lakin haikuwashwa lakin ameahd kulifanyia kazi suala hlo.
Asema yeye alikuwepo, substation ya kurasini, umeme ulipokatika walitegemea genereta ya U/taifa itawashwa lakin haikuwashwa lakin ameahd kulifanyia kazi suala hlo.
mtindo ndio huohuo! hata kwenye ma-STK!!mpuuzi tu huyu manager, ngoja wakachunguze kama wanaochunguza wako makini watagundua makubwa zaidi ya hili.
Issue kubwa hapa lazima itakuwa ni mafuta tu. Nadhani ndo deal lao kubwa. Wakifatilia watakuta magenerator huwa yanakunywa wese kila siku tena full tank. Hapo ndo wizara na huyu manager sasa hivi mmkojo unawawasha.