Umesahau kufa kufaana????
nimesikia pia, kuna haja ya uchunguzi makini kufanyika, pesa mil 6 kwa mechi ni kwa ajili ya umeme, sasa kwa nini umeme ukatwe kila baada ya mechi wakati umeme bill zinalipwa? hau hizo pesa zinakwenda mifukoni kwa wajanja mafisadi wizarani? uchunguzi ufanywe kwa kweli