Kukatika kwa umeme uwanja wa taifa; wizara yaomba radhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukatika kwa umeme uwanja wa taifa; wizara yaomba radhi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndetichia, Jul 10, 2011.

 1. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  yaani tanesco noma hadi kwenye mashindano makubwa wanakata umeme poor country poor tanesco..
   
 2. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  hakika leo ndo nimeamini tanzania ni nchi poor kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sio sisi wapenzi wa Yanga tu, bali Watanzania kwa ujumla, tunapokea kombe gizani? Kwa mwanga wa simu za tochi! Na Ambulance! Wachezaji wanamulikwa usoni ili kuwafahamu! Il hali dunia nzima inatuangalia! Inasikitisha sana, ila basi tu... Hii ni aibu.
   
 4. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Lakini hao TFF knowing leo ni finals..and knowing kuna mgao na hiyo area inakatiwa kuanzia saa 12 they could have two options
  1. Seek a standby generator
  2. Ask RM Temeke to let them have umeme till @least 8pm na grid control center pale nao wana TV am sure wamekata huku wakilalama hawajamalizia mpira...
   
 5. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  halafu viongozi wakiambiwa wajiuzuru wanaona wanaonewa, inaudhi sana kwa kweli.
   
 6. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Ni aibu kubwa. Super Sports watakuwa wameirusha hewani aibu hii. Tanesco wameshindwa kuzuia mgao hata katika shughuli ya kitaifa kama hii?
   
 7. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nimeitika tu. Jamaa wanakuja.
   
 8. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamani wadau, hatutaendelea kimichezo kama mambo haya yataendelea kutokea. Nahitaji maoni yenu.
   
 9. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa na uwezo ningetaifisha kampuni hii ya Tanesco.
   
 10. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Ningechangia sema uzi wako umeuleta kimajungu, Yanga hawajazimiwa ila umeme umekatika
   
 11. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwani kuna inshu/sector yeyote tuliyoendelea zaidi kupiga domo vijiweni na kuibiana. Aibu ya leo nashindwa hata kutoka hapa nilipo, kwani inshu ilishaonwa dunia nzima!! nasubiri taarifa za vifo vya watu wangapi. Its very sad kusema unatoka Tanzania, nchi isiyokuwa na kipaaumbele wala cha kujivunia. Anyway, its a transition period!! Hope in next ten years tutakuwa mbele na siyo nyuma.
   
 12. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Walichofanya Supersports ni kuweka mechi ya kurekodi ya Mathare utd na City utd za Kenya kwa kutuona wa tz ni wajinga hata kujitangaza duniani hatupo serious!. Tourism strategy!. Hivi ni lini wausika wataelewa somo. Matukio ya mechi ile yalikuwa yanaangaliwa Dunia nzima!. Tusubiri turudi bungeni tulalamike wakenya wana utangaza mlima Kilimanjaro wa kwao na babu wa kikombe Samunge ni wao! Poor us!
   
 13. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Ni ubishi tu wa tenga kwani walimwambia kuwa leo sio zamu yao lakini jamaa akazania tanesco wanatania, kumbe wako serious. Any way tenga sasa nae zamu yake kujiuzuru kwani ameshindwa kuliongoza shilikisho la kabumbu hapa nchini. Arudi kwenye spana huyu mechanical Engineer
   
 14. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #14
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Uzi sitauleta kimajungu. Kama bahati mbaya wanasema zinatokea kwenye wimbo wa taifa, itakuwa umeme? Na kama ni kukatika basi mbona leo umeme haukutakiwa kuwepo toka asubuhi.
   
 15. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi iko matakoni mwa Dunia unategemea nini? Mbona sawa tu zamani ilikuwa ngumu kucheza usiku coz viwanja vilikuwa havina taa now vinavyo umeme hamna. Upuuzi mtupu.
   
 16. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hivi angekuwa ndo Rais anapishwa pale na umeme ukatike wakati anaanza ungesemaje.?
   
 17. J

  JENSENE Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imekuwa ni mara ya kwanza kushuhudia mechi ya kimataifa kuhitimishwa ktk giza tororo. Kwa hali hii itatokea siku moja hospitalin daktari akimfanyia mtu upasuaji na umeme kukatika kusiwe na standby generator. Hii ni disaster, tanzanians wakeup&.........!i
   
 18. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Kagari ka ambulance ndo kaliweka heshima kidogo make uwanja ungegeuka vichochoro,hivi kama umeme ungekatika wakati mpira ukiendelea ingekuwaje?hapa sasa nimeamini tuendako kama tukifika basi tutakuwa tukitembelea vigoko ama vinginevyo wengi tutaishia njiani
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  itabidi sisi watu wa kanda ya ziwa tunataka uhuru wetu..
   
 20. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  yan jamaa hawafai kiujumla mashndno km yale unakta umeme ni stupid mara zote
   
Loading...