KERO Kukataliwa na mfumo kwa wahitimu wa Digrii ya Microfinance & Enterprises Development

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha(Finance).

Pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila tunakua Auto Rejected Tushaongea sana tumeshilikisha Mpaka chuo ila Limekua tatzo sugu Vijana tunahangaika hatuna Ajira, Na mfumo ambao tunautegemea nao unatukataa hata kwa ajira Finance nk kama zinazohusiana na kozi yetu kwenye Ajira.

Tunaiyomba Utumishi Ifanyie kazi maaana Tunakosa fursa za Serikalini kama kozi nyingine wavyopata.

Asante
 
Pole kwa changamoto.

Ni kozi inatolewa na chuo gani?

Unajua kozi nyingi Bongo ni za kuunga unga, imagine kuna kozi inaitwa Agriculture Investment and Banking, nataka kusema kozi kama yako pia ni kama sehemu ya kozi ya Finance na zingine isipokuwa wameifanya ijitegemee kitu ambacho sidhani kama ni sahihi sana.
 
Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha(Finance).

Pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila tunakua Auto Rejected Tushaongea sana tumeshilikisha Mpaka chuo ila Limekua tatzo sugu Vijana tunahangaika hatuna Ajira, Na mfumo ambao tunautegemea nao unatukataa hata kwa ajira Finance nk kama zinazohusiana na kozi yetu kwenye Ajira.

Tunaiyomba Utumishi Ifanyie kazi maaana Tunakosa fursa za Serikalini kama kozi nyingine wavyopata.

Asante
Poleni sana ndugu zetu.

Katika kipindi hiki cha kupambania miundo ya Ajira iwatambue ongezeni juhudi ya kusaka kazi za benki huko ndio kwenu hasa.
 
Poleni kama mpo wengi nendeni utumishi IT wake waiingize kwenye mfumo
 
Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha(Finance).

Pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila tunakua Auto Rejected Tushaongea sana tumeshilikisha Mpaka chuo ila Limekua tatzo sugu Vijana tunahangaika hatuna Ajira, Na mfumo ambao tunautegemea nao unatukataa hata kwa ajira Finance nk kama zinazohusiana na kozi yetu kwenye Ajira.

Tunaiyomba Utumishi Ifanyie kazi maaana Tunakosa fursa za Serikalini kama kozi nyingine wavyopata.

Asante
Mkuu umeongea vyema mimi mwenyewe inanisumbua sana hii Kuna kazi zinatoka za Entrepreneurship na hatuitwi pia, TRA hatuitwi na tumesoma Taxation Management na Account course kibao, BOT bank officers walitutosa na tulisoma Bank Operations 1&2 account for bankers na courses kibao za finance, ukija huko upande wa Sido, loan board mpaka halmashauri hawatutaki tutakua wageni wanani?
Utumishi na wahusika wengine waliangalie hili
 
Back
Top Bottom