Hao wengine ni Wabaki UsuluhishiNa hawa wengine je?
Pinda Hamna kitu,Burundi ilifaa aende Kipenzi chetu Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Peter Pinda
Basi Mwalimu akamwambi "Aaa basi huyo hakuwa rafiki yako;angekuwa rafiki hata leo ungeendelea kumuona ni rafiki tu"
Ni mwisho wa ushawishi wa Mkapa mwenyewe. Tanzania ina wanadiplomasia mahiri kama Salim Ahmed Salim na Augustino Mahiga na wengine wengi bado watatusaidia. Mkapa na ubabe ubabe wake hakuwahi kuwa msuluhishi mzuri wanamlazimisha kipaji ambacho hana. Yule mzee wa mihasira ni sawa huyu tuliyenaye sasa hawawezi kuwa wasuluhishi
Pia tuna mzee wa kung'ata na kupuliza JK anaweza kusuluhisha vizuri tu
Na mzee alishaanza kuonyesha upande,hilo ndilo lililowauzi wapinzaniUnapoitwa kwenye usuluhishi hutakiwi kuwa na upande lakini pia kuepuka kufunika kombe mwanaharamu apite...! Dalili zozote za kuonyesha kuwa kuna mmoja unamkubali mwingine humkubali hukuondolea mandate ya cheo husika