HII NI IMANI,MAZOEA ,UKOSFU WA ELIMU ,DESTURI ZA WATU/MAHALI FULANI.UKWELI NI KWAMBA KIMEO HUREFUKA KULINGANA NA KILA MTU ALIVYOUMBWA.HAIWEZEKANI KIKAZIDI UREFU WA KAWAIDA LABDA KAMA KUNA TATIZO LA UGONJWA AU KUGONWA (INFECTION/IMFLAMMATION/INJURY) AU UMBILE POTOFU(HEREDITARY ABDOMARLITY).KAZI KUU YA KIMEO NI KUSAIDIANA NA KINYWABUCAL CAVITY),MFUPA WA ULIMI(HYOID BONE) NA KIUNGO KINGINE(LARNX)ILI KUWEZESHA CHAKULA KUMEZWA BILA KUINGIA KWENYE KOO LA HEWA NA SAUTI.KWAHIYO KUKATA KIMEO UNAHARIBU MFUMO WOTE HUO WA UMEZAJI CHAKULA.PILI HUWEZI KULETA UGONJWA (INFECTION),USAHA AMBAO UKIMEZWA NAO NI TATIZO JINGINE NA KWA KUWA KIUNGO HICHO PIA NI KIHUSISHI KATI JICHO,PUA NA KOO MADHARA YANAWEZA KUWA MAKUBWA ZAIDI.NA KUBWA ZAIDI VIFAA VINAVYOTUMIKA VISIWE SAFI(STERILE)HIVYI KUPATA MAGONJWA AMBUKIZI MFANO UKIMWI NK.TUACHANE NA MILA POTOFU ,ELIMU ITOLEWE ZAIDI NA VYOMBO VYA HABARI Anatomy and functionThe epiglottis guards the entrance of the
glottis, the opening between the
vocal folds. It is normally pointed upward while one is
breathing with its underside functioning as part of the
pharynx, but while one is
swallowing, elevation of the
hyoid bone draws the
larynx upward; as a result, the epiglottis folds down to a more horizontal position, with its superior side functioning as part of the pharynx. In this manner it prevents food from going into the
trachea and instead directs it to the
esophagus, which is posterior.
The epiglottis is one of nine cartilaginous structures that make up the larynx (voice box). While one is breathing, it lies completely within the pharynx. When one is swallowing it serves as part of the anterior of the larynx.Mucosa
The entire lingual surface and the apical portion of the laryngeal surface (since it is vulnerable to abrasion due to its relation to the digestive tract) are covered by a stratified
squamous non-keratinized epithelium. The rest of the laryngeal surface on the other hand, which is in relation to the respiratory system, has respiratory epithelium: pseudostratified, ciliated
columnar cells and
mucus secreting
Goblet cells.Infection of the epiglottis
In children, the epiglottis will occasionally become infected with
Haemophilus influenzae and
Streptococci in the trachea, causing massive inflammation, called "
Epiglottitis". This condition has become rare in countries where
vaccination against
Haemophilus influenzae (Hib) is administered