Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Huwezi kupata pacha mpaka umpate mtu aliyezaliwa mapacha akupe mimba ya Mapachakumbe mkuu wewe ni uzao wa pacha,may he/she rest in peace,pole sana
Huwezi kupata pacha mpaka umpate mtu aliyezaliwa mapacha akupe mimba ya Mapachakumbe mkuu wewe ni uzao wa pacha,may he/she rest in peace,pole sana
Huwezi kupata pacha mpaka umpate mtu aliyezaliwa mapacha akupe mimba ya Mapacha
Anataka nimzalishie watoto Mpacha bibie Mtende mimi kwetu tunayo asili ya mapacha Dada zangu wawili wakubwa ni Mapacha na mimi mwenyewe ni Kulwa na mwenzangu wa kike ameshafariki alikuwa ni Doto.Hahahahaha mwambie tunauza mbegu za pacha lol
Ningojee nije nikupe hao mapacha mimi pia nimezaliwa mapacha ila mwenzangu amesha kwenda Akhera tangu mwaka 1991. Umenikumbusha pacha mwenzangu ahhh machozi yananitoka nime m -miss sana ukitaka fanya subira nikirudi nikupatie zawadi ya mapacha hhahahahah Mtende
Mkuu ni vizuri akasaidiwa kukandwa kwani yale maji ya moto husaidia zile damu zilizobakibaki kutoka.
Ila cha msingi yasiunguze jamani..kukandwa kuna umuhimu aisee asipuuzie damu zinaweza kubaki tumboni na akapata matatizo zaidi...
akifanyia uzembe tumbo hubaki limening'inia vibaya
Man you are just stupidDahh.. Umenikumbusha demu wangu (ambae alikuja kuolewa na Baba Swalehe ) alikuaga na tumbo tepetepe. Kumbe alizaaga akamuacha mtoto kwa babu yake Geita
Man you are just stupid
...Unanitafuta tangu asubuhi na sijui sababu ni nini sijawahi kuwa na ugomvi na mtu humu either kumtukana or anything mimi sishindi jamii forum muda wote hata hilo swali ndo nmeliona leo.Thanks.
At least I am stupid enough to know the pros & cons of "kumeza kamasi/kohozi" hata nikiulizwa sitokimbia swali.
NB: Sijasomea mambo ya celespinal*** whatever the fucck! But yes, I'm stupid!
........ Unanitafuta tangu asubuhi na sijui sababu ni nini sijawahi kuwa na ugomvi na mtu humu either kumtukana or anything mimi sishindi jamii forum muda wote hata hilo swali ndo nmeliona leo
Kama una stress whatever usi zi impose kwa mtu mwingine
Lots of things to do, masters ya neuro inachukua miaka saba unadhani muda wote ntakua Jf
Hahaha...watu mko na mambo.Masters ya Neuro "My Ass!"