Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Nimfuatiliaji mzuri wa mbinu za serikali yetu katika kupanua magoli wafunge goli la utulivu.
Kwa tukio la kushikiliwa ndege yetu usishangae soon akatumbuliwa mtu au ukasikia watu flani wamekamatwa kwa uhujumu uchumi lengo lao Ni kuwasaulisha Watanzania.
Asipotumbuliwa mtu wa wizara Kati ya sheria, miundombinu au BOT Basi wengine wenye tetesi za makandokando wajiandae mafaili yao kuvutwa na jumatatu wakatinga kisutu.
Balozi wetu South Nakuomea huruma hasa pale utakaposhindwa kushawishi ndege kurudi nchini.
Mwanasheria mkuu wa serikali jiandae maana ulipaswa kuona tatizo mapema na kumshauri mkurugenzi ATCL juu ya ruti za kimataifa ikiwemo S.Afrika.Najua unaelewa chanzo na mezani kwako hukosi notisi mbalimbali za madai ila mlipuuza Hadi mzee baba awasukume au taifa libagazwe...subiri
Kabudi unaelewa Vita ya kiuchumi ila ulikosa kuona madhara ya ndege yetu.
Inteligencia yetu unaona na kujua akina zito wanapanga Nini na Chadema wanafanya nn ila hakuna aliyeona dalili za ndege kukamatwa....mtanyolewa na Mzee baba kwa sababu mna wajibu wa kumshauri mambo ya kitaifa na siyo mambo ya mustakabali wa chama Cha mapinduzi