Informer JF-Expert Member Jul 29, 2006 1,582 6,627 Sep 20, 2017 #1 Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, Spika, Jaji Mkuu pia watumiwa nakala! Soma:
Kanyunyu JF-Expert Member May 2, 2012 335 495 Sep 20, 2017 #3 Nchi ya Tanzania haiendeshwi Kwa remote. Wakamkamate Omary Al Bashiri kwanza
G goodluck5 JF-Expert Member Jan 8, 2014 5,901 9,216 Sep 20, 2017 #4 Kwani itasaidia nn labda?! Tuanzie hapo kwanza.......
G goodluck5 JF-Expert Member Jan 8, 2014 5,901 9,216 Sep 20, 2017 #5 Waambieni hao mabwana kuwa Rais wetu hapangiwi.....walime barua, mahindi, maharage vyote havitambadili chochote!
Waambieni hao mabwana kuwa Rais wetu hapangiwi.....walime barua, mahindi, maharage vyote havitambadili chochote!
Rich Pol JF-Expert Member Oct 11, 2013 7,864 5,672 Sep 20, 2017 #6 Matamko tukio la lisu yamekuwa mengi sana lakini hatuoni chochote cha maana kinachoendelea, fanyeni kazi maisha lazima yaendelee
Matamko tukio la lisu yamekuwa mengi sana lakini hatuoni chochote cha maana kinachoendelea, fanyeni kazi maisha lazima yaendelee
M Mpalakugenda JF-Expert Member Jun 2, 2015 2,155 1,420 Sep 20, 2017 #8 Huyo Ndudagai atakuwa siyo huyu Ndugai eee. Hii ishara mbaya kwenye macho ya kimataifa. Kama nchi tufanye jambo kuwekana sawa. Sote Watanzania.
Huyo Ndudagai atakuwa siyo huyu Ndugai eee. Hii ishara mbaya kwenye macho ya kimataifa. Kama nchi tufanye jambo kuwekana sawa. Sote Watanzania.
The Wolf JF-Expert Member Sep 10, 2013 9,309 20,329 Sep 20, 2017 #9 inaingia sikio hili inatokea kuleee
Y ycam JF-Expert Member Mar 17, 2012 875 1,343 Sep 20, 2017 #10 I knew an international uproar was coming. Matukio ya uvunjifu wa amani na haki za binadamu nchini yamezidi kwa kiwango kinachoishangaza dunia.
I knew an international uproar was coming. Matukio ya uvunjifu wa amani na haki za binadamu nchini yamezidi kwa kiwango kinachoishangaza dunia.
Jambazi JF-Expert Member Jan 18, 2014 16,642 18,643 Sep 20, 2017 #11 Huu ni upupu Watanzania keendelea kuabudu wakoloni..... Mzungu yupo kimaslai zaidi.. Akutetei tu kizembe bila kukufaidi..
Huu ni upupu Watanzania keendelea kuabudu wakoloni..... Mzungu yupo kimaslai zaidi.. Akutetei tu kizembe bila kukufaidi..
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 49,225 103,846 Sep 20, 2017 #12 Nimeisoma hii barua ni nzito.Magufuli na aielewe
Mdudu halisi JF-Expert Member May 7, 2014 2,730 4,768 Sep 20, 2017 #13 Kwa hali hii, Magufuli hatatoka nje ya nchi kamwe. Mikutano, makongamano na vikao vyote vya kimataifa atakuwa anahudhuria Samia akipokezana na Mahiga.
Kwa hali hii, Magufuli hatatoka nje ya nchi kamwe. Mikutano, makongamano na vikao vyote vya kimataifa atakuwa anahudhuria Samia akipokezana na Mahiga.
Lobapula JF-Expert Member Jun 19, 2011 2,388 1,582 Sep 20, 2017 #15 Waambieni hao mabwana wa Uingereza Lissu haitaji barua Lissu anahitaji matibabu wangemchukua wakampa matibabu ya uhakika huko uingereza watakua wamesaidia sio hizi ngonjera
Waambieni hao mabwana wa Uingereza Lissu haitaji barua Lissu anahitaji matibabu wangemchukua wakampa matibabu ya uhakika huko uingereza watakua wamesaidia sio hizi ngonjera
Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 65,812 156,950 Sep 20, 2017 #16 Kanyunyu said: Nchi ya Tanzania haiendeshwi Kwa remote. Wakamkamate Omary Al Bashiri kwanza Click to expand... Umesahau mnaishi kwa misaada yao
Kanyunyu said: Nchi ya Tanzania haiendeshwi Kwa remote. Wakamkamate Omary Al Bashiri kwanza Click to expand... Umesahau mnaishi kwa misaada yao
jay311 JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,932 2,711 Sep 20, 2017 #17 Aisee..this issue has gone far than i thought it will. Acha dunia ijue uchafu na ukatili unaofanyika huku.
Aisee..this issue has gone far than i thought it will. Acha dunia ijue uchafu na ukatili unaofanyika huku.
M mshumbue-soi JF-Expert Member Aug 28, 2013 1,842 1,147 Sep 20, 2017 #18 Mbona hawajaandika kwa kiswahili???
Allen Kilewella JF-Expert Member Sep 30, 2011 18,305 33,924 Sep 20, 2017 #19 Nimeelewa ni kwa nini CCM wamepanik!