Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Kudadeki..ni PM venue maana kuna mafisi humu ndani wasije wakani overtake
Katika siku ulizoongea point ni leo.Hebu niambie utakuwa free weekend hii nikutoe japo dinner....lol
Usisahau kumkalia
Ni upumbafu sana..... kuna mtu anadiriki kumgombeza mke wake kwenye simu kisa kaulizwa anarudi saa ngapi.....na kuna mtu alipigiwa simu na mke wake akapokea , "Yes baby"............"ok sweetie on my way" akamalizia bia iliyokua kwenye glas akasimama akaaga akaondoka.....alipotoondoka huku nyumba majaama yakaanza..ohh jamaa afurukuti kwa mke wake...oooh kakaliwa na mke wake...wengine oo siwezi kuishi maisha ya hivyo....na hao wanaoongea ni mabig looser tena wengine hata ni magay...they just think of nice shoes and designer outfits, they cant afford even a girlfriend.... ni mbaya sana.
Toka lini mimi na wewe tulianza kutaniana?Hebu jiamini mwanaume wewe......lol
Ni upumbafu sana..... kuna mtu anadiriki kumgombeza mke wake kwenye simu kisa kaulizwa anarudi saa ngapi.....na kuna mtu alipigiwa simu na mke wake akapokea , "Yes baby"............"ok sweetie on my way" akamalizia bia iliyokua kwenye glas akasimama akaaga akaondoka.....alipotoondoka huku nyumba majaama yakaanza..ohh jamaa afurukuti kwa mke wake...oooh kakaliwa na mke wake...wengine oo siwezi kuishi maisha ya hivyo....na hao wanaoongea ni mabig looser tena wengine hata ni magay...they just think of nice shoes and designer outfits, they cant afford even a girlfriend.... ni mbaya sana.
Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye. Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume eti "mimi bwana mwanamke hawezi niuliza niko wapi" sasa ndugu yangu wewe ndio ulimtongoza mwenyewe tena ulimsumbua hasa msichana wa watu leo hii anakupigia simu anakuuliza uko wapi unaanza kupanic. Tusifanye vitu ili kuwaridhisha washkaji huko viringeni...tufanye vitu kuwaridhisha wake zetu.... imefikia wakati mwanaume usipokaa bar mpaka saa nane au saa saba usiku unaonekana ---- na ukiangalia ligi ya ulaya sebleni kwako na mke wako unaonekana ---- pia...au usipokua na demu wa nje eti wewe sio mjanja. huu ni upuuzu tubadilikeni jamani. ndio sikatai usikae na washkaji lakini usipitilize sasa. Naona huruma sana unakuta mtu kavaa lipete likuuubwa la ndoa amekaa bar kwenye kiti anasinzia..jamani ?
Basi hiyo heading nilidhan inasema kukaliwa maybe mapajani
benteke kumbe ukitulia huwa unaweza kuandika mambo ya maana sana...
tinna mrembo.. sasa mwanaume hataki aulizwe yuko wapi na mke wake si kituko hicho. Tena napaaza sauti katikati ya wanaume wenzake. Ni ujinga sana. Sasa asiulizwe yuko wapi kwani yeye ni nani hapa daslam. Mengi mwenyewe anaulizwa na Jaki.
Basi hiyo heading nilidhan inasema kukaliwa maybe mapajani
ha!! ha!! ha!! ha!!
Honey Faith punguza jazba utauwa mtu humu!!!!
nimeona kwa macho yangu yaliyo kwenye avatar yangu unamjibu mtu hivi...