surubu kwetu
Member
- May 13, 2014
- 59
- 12
ndugu zangu nina mpenzi ninampenda sana tatizo langu na yeye ni mambo yake siku hizi simuelewi kabisa kabadilika kuliko mwanzo naweza kuwa nae chumbani anapigiwa simu na wanaume wengine wanaanza kuongea kimahaba ukimuliza anasema ndugu yake juzi tulikuwa nae tumelala akapigiwa simu kuangalia simu yake jina limeandikwa mume wangu nilimuuliza akasema waliachanae je inawezekana mpenzi mumeachana ukabaki umemsave mume wangu au ndo mtu wake anayemkubali kuliko mimi