kukagua simu ya mpenzi wako ni vibaya

kukagua simu ya mpenzi wako ni vibaya

I hate all men ambao hawajui wajibu wao na hawana maamuzi kama kiongozi wa familia.
Ukiona mwanaume huna kauli ya kuuliza na kujibiwa kwa usahihi

Achana na hayo mahusiano

Umeolewa wife material?? Napenda wanawake wenye akili kama zako
 
Mapenzi upate akupendae kwa dhati na wewe umpende
 
jamani eeh naomba uniambie ukaendelea kulala nae tena umemkubatia mpaka asubuhi?
 
Umeolewa wife material?? Napenda wanawake wenye akili kama zako

Haya bhana
Ukwel mm napenda sana mwanaume anayejitambua na mwenye maamuz as father of family
Unatoa saut na hakuna mwigine wa kuongea baada ya kauli yake Bali utekelezaji tu
Mwanaume kama huna hekima na busara ni shida sana kutoa kauli na kuwa na msimamo
 
I hate all men ambao hawajui wajibu wao na hawana maamuzi kama kiongozi wa familia.
Ukiona mwanaume huna kauli ya kuuliza na kujibiwa kwa usahihi

Achana na hayo mahusiano

Ni kweli kama mapenzi ni magumu kiasi hiki ni bora tu kuachana nayo
 
Ni kweli kama mapenzi ni magumu kiasi hiki ni bora tu kuachana nayo

Mwanaume kauli moja na msimamo sio sitaki nataka na ndo mana mabinti tunachukilia kama advantage hii
Badilika mdogo wangu gal wako anakuona kichekesho ila hakuambii kashajua unachouliza au kulalamika haumaanishi
 
Haya bhana
Ukwel mm napenda sana mwanaume anayejitambua na mwenye maamuz as father of family
Unatoa saut na hakuna mwigine wa kuongea baada ya kauli yake Bali utekelezaji tu
Mwanaume kama huna hekima na busara ni shida sana kutoa kauli na kuwa na msimamo
ICHANA natamani wanawake wote wangekua na akili kama hizi
 
Last edited by a moderator:
Yani wewe ni ----- uliyepitilza, natamani nikuchape kofi la uso kabisaaaa!
 
Acha upoyoyo wewe chamiyago. Huyo mwanamke ashakuona wewe ndo zoba lake; hebu fanya maamuzi ya kiume, unatuaibisha wanaume au mpaka uletewe ngoma??
 
Kusoma hujui hata Picha kaka yangu ? We ni mchepuko tu kwake ........ Lols poleeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom