kukagua simu ya mpenzi wako ni vibaya

kukagua simu ya mpenzi wako ni vibaya

Hukumpa hata keleb siko hyo akuelezee vzuri Huyo mume wake anaishi wapiii
 
ndugu zangu nina mpenzi ninampenda sana tatizo langu na yeye ni mambo yake siku hizi simuelewi kabisa kabadilika kuliko mwanzo naweza kuwa nae chumbani anapigiwa simu na wanaume wengine wanaanza kuongea kimahaba ukimuliza anasema ndugu yake juzi tulikuwa nae tumelala akapigiwa simu kuangalia simu yake jina limeandikwa mume wangu nilimuuliza akasema waliachanae je inawezekana mpenzi mumeachana ukabaki umemsave mume wangu au ndo mtu wake anayemkubali kuliko mimi

Simu ya mtu ni kama dampo ukipenda kuchokonoa jiandae kukabiliana na uchafu na harufu..kila mtu akae na yake no need of stress
 
Kudate na mvulana raha, hata huangaishi kichwa kutunga uongo....
 
ndugu zangu nina mpenzi ninampenda sana tatizo langu na yeye ni mambo yake siku hizi simuelewi kabisa kabadilika kuliko mwanzo naweza kuwa nae chumbani anapigiwa simu na wanaume wengine wanaanza kuongea kimahaba ukimuliza anasema ndugu yake juzi tulikuwa nae tumelala akapigiwa simu kuangalia simu yake jina limeandikwa mume wangu nilimuuliza akasema waliachanae je inawezekana mpenzi mumeachana ukabaki umemsave mume wangu au ndo mtu wake anayemkubali kuliko mimi

Mkuu kwa case hii mbona hili halifai kuwa swali? Lbd uombe members wakupe ushauri jinsi ya kusolve hilo tatizo,btw pole sana...
 
Simu ya mtu ni kama dampo ukipenda kuchokonoa jiandae kukabiliana na uchafu na harufu..kila mtu akae na yake no need of stress

Denying is an opportunite to defend urself.Jaman mi nakataa xio kla cm ina uchafu hyo yote yanatokna na tabia ya mtu.
 
Mhhh!Bi mkubwa umeni-bore kwhyo umeona ss vidume n watu wa kutungiwa umbea na kudanganywa kirahs c ndio,? .........Dah!Umenfanya njifunze k2 hapo.
 
Denying is an opportunite to defend urself.Jaman mi nakataa xio kla cm ina uchafu hyo yote yanatokna na tabia ya mtu.

Thanks for objection mkuu,what if you doesn't have a courage to let it go why keep on investigation? Let's have our privacy right no matter what and how...RESPECT n TRUST to each other is enough
 
Haha, Kuna wakati utafika nitamuwekea mpenzi wangu tracking device
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom