Kukabiliana na propaganda za CCM, CHADEMA ifanye hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukabiliana na propaganda za CCM, CHADEMA ifanye hivi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jatropha, Sep 15, 2010.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  [FONT=&quot]Kutokea kuanza kwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, mgombea urais wa CCM Mhe Jakaya Kikwete na wapiga debe wake wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana kukwepa hoja zinazosababisha umaskini wa watanzania na kuifanya Tanzania kuendelea kuwa nchi maskini. Ni katika mkakati huo CCM imegoma kushiriki midahalo mbali mbali waka huu.
  [/FONT]

  [FONT=&quot][FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]Hoja ambazo zinawasababishia watanzania umaskini na Tanzania kuendelea kuwa maskini pamoja na (a) Serikali ya CCM kushindwa kukusanya kodi ipasavyo kutokana na viongozi wake wengi kuwa na mashirikiano na wawekezaji na wafanyabisahara wakubwa hapa. (b) Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zinazopata mapato ya chini kabisa kutoka kwenye madini yake Dhahabu, Almasi, Tanzanite n.k. (c) Serikali kushindwa kukusanya mapato ya kutosha kutoka katika vivutio mbali mbali vya utalii, ikiwemo uwindaji wa kitalii, mbuga za wanyama, mahoteli, fukwe n.k.[/FONT]

  [FONT=&quot][FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]Mapungufu hayo pampja na mengine zimeifanya Serikali ya Tanzania ambyo imekuwa ikiongozwa na CCM kwa talkribani mika 49 kuwa na uwezo mdogo sana wa kifedha kumudu kuwapatia watanzania huduma za kijamii ikiwemo elimu, afya, maji safi n.k. Hali hii imeilazimu Serikali ya CCM kuwa na sera za uchangiaji huduma za elimu, afya na upatikanaji maji safi; japo huduma inayotolewa ni ya kiwango cha chini sana.
  [/FONT]

  [FONT=&quot][FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]Kutokana na watanzania wengi kukosa fedha za kuchangia afya na upatikanaji maji safi, na huduma zenyewe kuwa ni za ya viwango vya chini sana maelfu ya watanzania wamekuwa wakipoteza maisha kila mwaka kwa maradhi ya aina mbali mbali kama vile malaria, kipindipindu, kuhara n.k ambayo yangeweza kuzuilika laity kama Serikali ingekuwa imejijengea uwezo wa kuboresha miundo mbinu na upatikanaji huduma za afya.
  [/FONT]

  [FONT=&quot][FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]Kwa upande wa elimu CCM imeamua kuwafanya mamilioni ya watanzania kuwa watumwa ndani ya nchi yao kwa kuwakusanya watoto wa wafanyakazi na wakulima na kuwadanganya kuwa inawapatia elimu katika vyumba vya madarasa visivyo na waalimu, madawati, vitabu vya kiada, madaftari, maabara n.k.
  [/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]Wakati haya yakitokea watoto wa viongozi na watendaji wa Serikali ya CCM wanasoma katika shule za binafisi za kulipia ambazo zina waalimu na mahitaji yote muhimu. Watoto wao wanakwedna shule kwa magari ya serikali, mashirika ya umma na mabasi ya shule ya kulipia. Fedha zote hizi zinatoka katika mifuko ambayop iltakiwa kuwahudumia wanyonge.[/FONT]

  [FONT=&quot][FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]Kutokana na Serikali ya CCM kushindwa kukusanya mapato kama ilivyotajwa hapo juu imekuwa ikiweka kodi kubwa katika bidhaa mbali mbali ikiwemo mafuta kwa nia ya kupata fedha za kujenga barabara. Kodi hizi husababisha mfumuko wa bei hapa nchini na kuongeza umaskini wa watanzania.[/FONT]

  [FONT=&quot] [FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]Moja ya mbinu ambayo CCM imekuwa ikitumia kukwepa hoja zilizotajwa hapo juu staili ya kutoa “ahadi hewa lukuki” ambayo inaonekana kuwachanganya wananchi na wapinzani pia. Hali hii inawafanya wapinzani waache kujenga hoja zenye kuibana CCM kuhusu ilivyoshindwa kusimamia na kutumia utajiri na raslimali zilizopo Tanzania kwa manufaa ya watanzania na badala yake wapinzania wanaanza kucheza ngoma ya CCM ya kutoa ahadi lukuki.
  [/FONT]

  [FONT=&quot][FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]Ili kukabiliana na Propaganda za CCM, wagombea wake na viongozi wake mbali mbali ambao wanapatiwa fursa zaidi na vyombo vingi vya habari, DR Slaa na wagombea wote wa CHADEMA wanatakiwa kuwafahamisha watanzania mara kwa mara yafuatayo:-[FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot](i) aina ya madini na ujazo yaliyochimbwa na kuondoka hapa nchini kutoka mwaka 2005 hadi sasa.[FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot](ii) kiasi cha fedha kilichopatikana kama mrahaba duni uliowekwa na Serikali ya CCM.[FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot](iii) kiasi cha fedha Serikali ya CCM ilichopokea kwa niaba ya watanzania kutoka 2005 hadi sasa kutoka kwenye madini. [FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot](iv) Kiasi cha Mrahaba ambao Serikali ya CHADEMA ingeweka kutoka katika madini husika.[FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot](v) kiasi cha fedha ambacho kingeweza kupatikana chini ya utaratibu huo wa CHADEMA kutoka katika madini yaliyochimbwa kati ya 2005 hadi sasa.[FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot](iv) na fedha hizo zingeweza kujenga miundo mbinu, shule, hospitali n.k ngapi. [FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]2)[FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Kiasi cha fedha wafanyabiashara wanachokwepa kila mwaka kutoka 2005 hadi sasa. Na fedha hizo zingeweza kufanya nini katika utoaji huduma za jamii, ujenzi wa miundo mbinu n.k?[/FONT][/FONT]

  [FONT=&quot][FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]3)[FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Kiasi cha fedha kinachokosekana kukusanywa kupitia sekta ya utalii kutokea 2005 hadi sasa. Na fedha hizo zingeweza kufanya nini katika utoaji huduma za jamii, ujenzi wa miundo mbinu n.k?[/FONT][FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]NB: Dr Slaa na wagoimbea wote wa CHADEMA nchi nzima wajikite katika kuwafafanulia na kuonyesha watanzania kuwa inawezekana watoto wote wa Tanzania wakapata elimu bure kutoka chekechea hadi Kidatu cha Sita; [FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]na kodi ya vifaa vya ujenzi vinavyotumiwa na wanyonge yaani saruji, bati, nondo, misumari n.k vinavyoweza kupunguzwa bila ya kuathiri uendeshaji wa Serikali baada ya CHADEMA kusimamia mukusanyaji apato ya Serikali kama ilivyoonyeshwa hapo juu.[/FONT]

  [FONT=&quot][FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]Timu ya Kampeni ya CHADEMA ikumbuke kuwa binadamu ameumbwa kusahau mara kwa mara. Hivyo huhitaji kukumbushwa mara kwa mara. Hivyo watumie kipindi hiki cha Kampeni kurudia rudia mambo haya msingi hususan usimamizi wa madini, kodi, utalii n.k ili wananchi waweze kukumbuka na kutoa adhabu kwa CCM tarehe 31 Oktoba 2010.[/FONT]

  [FONT=&quot][FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]Mwana JF yeyote anayeweza kutupatia hizi takwimu hapa atakuwa ametoa msaada mkubwa sana kwa wagombea mbali mbali wa CHADEMA ili kutusadia kuwaeleza watanzania wenzetu kiini cha umaskini wetu na kwanini tunalazimika kufanya mabadiliko kupitia uchaguzi wa mwaka 2010.

  [FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot] [FONT=&quot][/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot] [FONT=&quot][/FONT][/FONT]
   
 2. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I agree with you
   
 3. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unazidi kunipa wakati mgumu hata nakosa usingizi,maana tukiambiwa watanzania ni wajinga sio uongo shekhe,huu ni ukweli tupu,hata wasomi tanzania hakuna na kama wapo ni waoga kama mbweha ukimtisha kidogo anakimbilia porini.
  Mimi nalosa usingizi kwasababu ya huu uchaguzi maana naanza kusikia mambo lukuki kuhusu hiki chama dola sisim.
  Kwani Tanzania hakuna wasomi????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
  Hakuna mzalendo mwingine kama huyo Dr wa kweli??????????????????????????????????????????????????????????????
  Kwani Dr anashida gani na umaskini wa Tanzania?????????????????????????????????????????????
  Kwani Kikwete haoni umaskini wa wa-Tanzania??????????????????????????????????????????????????????
  Hivi Tanzania tumelogwa ????????????????????????????????????????????????????????????????
   
 4. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  watu mnazungumzia Ufisadi toka moyoni au mdomoni? Trafiki Bingwa wa Mabao barabarani, Daktari bingwa wa kuomba Rushwa kwa Wagonjwa,Mwalim Bingwa wa kuvujisha Pepa woooote hawa mkianza kuponda ufisadi wa kina Chenge wanajifanya kuongea Mpaka povu linajaa Mdomoni.tuache unafiki, anza kupinga urfisadi unaokuzunguka kabla ya kupayuka
   
 5. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  JK Alisema hajui kwa nini Watz wake ni maskini namna hii. LOH
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Safiii sana nadhani wahusika watachukua ushauri wako
   
 7. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Tanzania - Still A Haven For Mining Investors?

  Date 05/09/2007
  The Right Side | By Erin-And-Isabel Now, if you are talking about mineral wealth Africa is up there in the realms of royalty. But as we keep telling you, investing in Africa is a risky business. The key is being able to climb into the mind of the government in question, to understand where it is coming from and, more importantly, where it's going.

  cieve The Right Side here...
  [​IMG]
  Easier said than done! Governments are made up of people and people don't always agree with one another. Take Tanzania's President, Jakaya Kikwete, and its Commissioner for Minerals, Dr Peter Kafumu, as an example.
  One minute the President is telling a Cape Town based mining conference that a hike in mining royalties is on the cards. The next the Commissioner is reassuring industry that the chances of this happening are remote. Who is an investor to believe?
  Mining policy under review... but still looks pretty reasonable

  Over the last few months the Tanzanian government has indeed been reviewing all mining licences. This process is being run in tandem with the review of 1997's national mining policy which spawned the Mining Act of 1998. As a consequence they've been looking at royalties.
  Currently miners in Tanzania pay about 3% in royalties for most minerals but around 5% for diamonds and gemstones. Some argue this is much too low considering that in South Africa mining companies must fork out 12%. Dr Kafumu doesn't buy this argument and has been willing to publicly state that the reason for SA's high royalties is because it is a safer investment bet than Tanzania. Mining companies in Tanzania have much higher operational costs totalling some 60% of profits.

  Still, analysts widely agree that Tanzania is still a "competitive destination" mainly due to its "good government policies". High praise indeed for Africa!
  Undoubtedly, favourable legal and fiscal measures, flowing from the Mining Act have acted as a catalyst for direct foreign investment in the mining sector. Some significant measures include:

  • Tax incentives such as repatriation of profits accrued from mining investments;
  • Special VAT relief;
  • Zero import duties for equipment and machinery used during exploration;
  • A depreciation allowance of 100%; and
  • A 15% withholding tax for foreign contractors on technical services and management fees.
  These investment friendly policies have worked! By 2005 there were 21 mining ventures registered in Tanzania - six in gold mining, four in gemstone mining and the balance, though not of concern to us at Miner Diaries, industrial. Better still the mineral sectors' contribution to GDP has risen from 1.5% in 1995 to 3.2% in 2004. Predictions are that this could reach 10% by 2025.
  Some incentives scrapped... but a new IT system limits the damage

  Recently as the commodities boom has gathered momentum the Tanzanian public has started to ask more questions. Gold exports may have risen by 20% in 2003 from $414–$505 million but the Tanzanian people have not managed to get their hands on more than 5% of their very own precious yellow metal. Increasingly under pressure, the Tanzanian government had to do something. Some incentives like the 15% additional capital allowance provision have now been scrapped.
  So then, are these rumblings the end then of the country's mining boom? We doubt it. Short of a Zimbabwe like fiasco, companies already operating in Tanzania are not going to back out if there are proven and probable minerals in the ground.
  And from our precious point of view Tanzania's mineral resources are certainly not to be sneezed at! This is now the continent's third largest gold producer after South Africa and Ghana with proven gold reserves in excess of 36 million ounces. The most significant gold deposits have been found around Lake Victoria and are at various stages of development. But gold targets have also been identified in the south west.
  estment email

  Sign up to recieve


  When you've got gold, gemstones come in rather handy too - yet another tick for Tanzania's precious box! Diamonds have been commercially produced at the Williamson Diamond Mine at Mwadui since 1925 but there are others too. Sapphires, rubies, emeralds, amethysts... the list is endless. So, no! This mining boom is set to continue. Thanks to Dr Kafumu - who seems like a pretty reasonable sort of guy - the royalty hike discussion seems to have been pushed under the carpet for the moment. Royalties, says Dr Kafumu, are "a very sensitive element that could make or break local and foreign investment."
  What the government is doing, however, is fine tuning its IT infrastructure which should identify companies whose compliance record for paying royalties leaves a lot to be desired. This could rake in billions of dollars currently lost to royalty evaders. This year alone, fees and royalties are expected to increase to $50 million from less than $25 million in 2004 thus avoiding the need for any drastic fiscal/tax hikes.
  Getting into the mind of government gets results

  Meanwhile what the mining companies should be doing more of is getting as close to the Tanzanian government as possible, attempting to prove that they too have the country's interests at heart.
  In spite of the mining contracts review, the Tanzanian government gave the green light to Barrick Gold Corporation's (TSX, NYSE: ABX) Environmental Impact Assessment report for its wholly-owned Buzwagi gold project. Buswagi is said to have 2.64 million ounces of gold reserves and an estimated life span of ten years. More on this project later in the month!
  So for now we want to say this - all things considered Tanzania is a good bet for Africa as its mining policy still looks pretty fair. Put another way at least the government has been willing to engage with investors on the subject. It has been in talks with Barrick, the biggest gold mining company in the world, as well as Resolute Tanzania Limited and AngloGold Ashanti among others to work out the best way forward for keeping the public happy.
  So, now that we've set the scene we'll soon be taking a closer look at the companies tapping Tanzania's mineral wealth.
  In the mean time, keep digging!
  Erin and Isabel

  SOURCE: Tanzania - Still A Haven For Mining Investors? .

  HIVYO DR SLAA NA CHADEMA WANAPOSEMA TANZANIA INAO UWEZO WA KUWAPATIA WATOTO WOTE ELIMU YA BURE HADI KIDATO CHA SITA NI UKWELI MTUPU. KAMA SOUTH AFRICA WANACHUKUA (METALS ROYALT) MRAHABA WA 12% KWA MADINI YAO.

  NI KWANINI TANZANIA INACHUKUA ONLY BETWEEN 3%-4%, KAMA SIO UFUSADI WA VIONGOZI WA CCM KUPOCKET ZA DIFFERENCE.

  HALAFU RAIS JAKAYA KIKWETE ANATAMKA KATIKA MKUTANO KUWA MRAHABA UTAPANDA KAMISNA WA MADINI ANAMKANUSHA. JE HUU NI UONGOZI WA AINA GANI? HUU NDIO UONGOZI USWAHIBAH HUU!!!!

  MWAKA 2007 TANZANIA DHAHABU YA THAMANI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 505, NA NCHI HAIKUPATA ZAIDI YA 5% YA KIASI HICHO KAMA MRAHABA 3% NA MAPATO MENGINE 2% SAWA NA DOLA MILIONI 25 TU. ILHALI KAMA TUNGEKUWA TUNAPATA 12% KAMA AFRIKA KUSINI MAPATO HAYO YENGEWEZA KUPANDA KUFIKIA KATI YA DOLA MILIONO 75 HADI 90. PUNGUFU IKIWA NI KAMA DOLA MILIONI 50 KWA MWAKA 2007 SAWA NA SHILINGI ZA KITANZANIA BILIONI 75 KWA EXCHANGE RATE YA SASA KWANI HATA SASA BADO ZINAPOTEA.

  LICHA YA KIASI HICHO KIDOGO SERIKALI YA CCM PIA IMEKUWA IKISHINDWA KUKUSANYA ZAIDI YA NUSU YA MRAHABA HUO KUTOKANA NA WAWEKEZAJI KUKWEPA AMBAPO INAKADIRIWA ZAIDI YA DOLA MILIONI 25 HUPOTEA KILA MWAKA.

  WANAJF HEBU TAZAMANENI HII ARTICLE MUONE WENNZETU WANAVYOTUDHAKI KWA KUSHINDWA KUKUSANYA MNAPATO KUTOKA KATIKA MADINI YETU KIASI CHA WAZUNGU KUITANA KUJA TANZANIA ILI KUZOA MADINI YA BURE HUKU WATANZANIA TUKIBAKI MASKINI.

  HAYA NDIO WATANZANIA WANAPASWA KUELEZWA KWENYE KAMPENI MARA KWA MARA ILI WAWELEWE JAMANI!!!!
  [​IMG]
   
 8. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #8
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  An eye opener of what is happening in our Government!!
   
 9. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  There you are speaking
   
Loading...