Kukabiliana na Corona Tanzania

Kukabiliana na Corona Tanzania

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,475
Reaction score
33,038
Hello JF,

Baada ya hili balaa…. kuna umuhimu wa serikali kuwa na record za watu wake.. ni procedure itakayo kuwa kubwa and costly lakini worth it.

Cha kumshauri Ummy Mwalimu, ni kutopanic hili ni jambo la dunia....

Second kupitia records walizo nazo, wa identify sehemu zenye maambukizi zaidi na zile hela zilizotolewa juzi na Rais Magufuli ziende kujenga hospitali in these high priority areas

Third Mkuu Ummy ungeweka mfuko/ fund/hotline watu wachangie... utahitaji funds kukabiliana na hili dubwana.....

Lengo la kuanzisha mada hii ni kuanzisha kampeni ya KIFIMBO CHEZA,

Serikali kama inaweza inunue FIMBO kwa kila mtanzania 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Yes! kila mtu awe na stick yenye mita moja,..kelele zipigwe watu wakienda huko kwenye mashughuli ya kila siku wakae mbali na wengine…kwa umbali wa fimbo( one metre)

Asiyekua na stick akamatwe!

Yes social distancing ni only reliable method inayoonyesha matokeo positive huko dunia ya kwanza...lockdown inazingua..na sidhani kama tutaiweza…

So, na sisi tuikazanie hii distancing... well with modification... yetu ni lazima..🤣🤣🤣🤣

Karibuni kwa mawazo...
 
sawa mkuu, ila sioni umuhimu wa serikali kutumua fedha kuwanunulia raia fimbo. I mean kwa haya mazingira ya kitanzania kama lengo la kujikinga litasaidiwa sana na hizo fimbo, basi kuna miti mingi tu huko mitaani ambapo raia wanaweza kata vijiti vyenye urefu wa mikono yao, na hizo fedha za kununulia fimbo zikapata matumizi mengine muhimu zaidi.
 
Mtu kama mimi ndio tunaochangia maambukizi yaani toka corona ianze sijabadili lyf style, niponipo tu
 
sawa mkuu, ila sioni umuhimu wa serikali kutumua fedha kuwanunulia raia fimbo. I mean kwa haya mazingira ya kitanzania kama lengo la kujikinga litasaidiwa sana na hizo fimbo, basi kuna miti mingi tu huko mitaani ambapo raia wanaweza kata vijiti vyenye urefu wa mikono yao, na hizo fedha za kununulia fimbo zikapata matumizi mengine muhimu zaidi.

Mkuu kwanini serikali inanunua sanitizers kwenye mizunguko pamoja na maji,je watu hawana hela ya kununua vitu hivyo??..kumpiga kampeni ya social distancing bila kuwapa fimbo watu,kampeni yako itabaki maneno tuu..labda useme serikali iinde huko mitaani ambapo miti inapatikana,halafu one metre ni sawa na urefu wa mikono au ulikua unamaanisha nini?
 
hiyo social distacing ukiifanya pale mtaa wa congo na kariakoo, wale raia watafika morogoro

🤣 🤣 🤣 🤣 mimi genuinely ningependa kumjua Laki Si Pesa, tangu nimeanza kukusoma JF ni kucheka tuu...
 
Mkuu kwanini serikali inanunua sanitizers kwenye mizunguko pamoja na maji,je watu hawana hela ya kununua vitu hivyo??..kumpiga kampeni ya social distancing bila kuwapa fimbo watu,kampeni yako itabaki maneno tuu..labda useme serikali iinde huko mitaani ambapo miti inapatikana,halafu one metre ni sawa na urefu wa mikono au ulikua unamaanisha nini?
Kwangu mimi naona fimbo haina umuhimu sawa na sanitizer au mask ( barakoa) hivyo hakuna umuhimu wa kupoteza fedha kununua vijiti ambavyo kwa mazingira yetu ukitembea barabarani tu unakutana navyo.
 
China walijenga hospitali ndani ya wiki, sisi itachukua miaka kujenga moja 😂 labda kama kujenga unamaanisha tutumie tents ⛺️ hiyo si mbaya kwa kua ni temporary, ila ventilators hakuna, ventilators inasaidia kuondoa maji yanayokwama kwenye mapafu, watu ambao corona imewazidia kinachowaua ni maji kujaa kwenye mapafu wanashindwa kupumua, bila ventilators ni kama tunawaweka hospital bure tu, Tanzania majii tu ni shida, yaani kwa lugha nyingine we are fucked, hili likipita tujiandae sana kwa litakalofuata.

Hapa naona tufate ya Tibaijuka, tupambane kwa njia zote za wataalamu yakitushinda tujaribu na tiba asilia, na huko likishindikana basi tusubiri tu herd immunity wengi waugue wajenge kinga ya mwili alafu hawawezi ugua tena, tatizo option ya mwisho itaondoka na wazee wetu wengi sana na watu wenye kinga ndogo ya mwili. Hili lisingekua tatizo kubwa kama watanzania wangefanya social distancing na kuvaa mask hata za kitenge tu kila moja inasaidia sana, sema maskini anayeingiza 1,000 kwa siku huwezi mwambia hili swala hata habari kua kuna corona utakuta 80% ya watanzania hawajui hadi sa hivi
 
Mazoea ni kitu kibaya sana.

Unaweza kuona Watu wanakaidi utaratibu fulani, kumbe sivyo hivyo ni mazoea tu
 
Kwangu mimi naona fimbo haina umuhimu sawa na sanitizer au mask ( barakoa) hivyo hakuna umuhimu wa kupoteza fedha kununua vijiti ambavyo kwa mazingira yetu ukitembea barabarani tu unakutana navyo.

Social distancing ni sawa na sanitizer mkuu,the only reliable intervention ambayo inaonyesha positive results..pitia huko mtandaoni utaona social distancing,mimi nimeona serikali yetu inaweza hii kitu sio gharama sana, halafu hizo fimbo ni one metre sijui kama vinafanana na mkono,sio vijiti unavyokutana navyo barabarani
 
China walijenga hospitali ndani ya wiki, sisi itachukua miaka kujenga moja 😂 labda kama kujenga unamaanisha tutumie tents ⛺ hiyo si mbaya kwa kua ni temporary, ila ventilators hakuna, ventilators inasaidia kuondoa maji yanayokwama kwenye mapafu, watu ambao corona imewazidia kinachowaua ni maji kujaa kwenye mapafu wanashindwa kupumua, bila ventilators ni kama tunawaweka hospital bure tu, Tanzania majii tu ni shida, yaani kwa lugha nyingine we are fucked, hili likipita tujiandae sana kwa litakalofuata.

Hapa naona tufate ya Tibaijuka, tupambane kwa njia zote za wataalamu yakitushinda tujaribu na tiba asilia, na huko likishindikana basi tusubiri tu herd immunity wengi waugue wajenge kinga ya mwili alafu hawawezi ugua tena, tatizo option ya mwisho itaondoka na wazee wetu wengi sana na watu wenye kinga ndogo ya mwili. Hili lisingekua tatizo kubwa kama watanzania wangefanya social distancing na kuvaa mask hata za kitenge tu kila moja inasaidia sana, sema maskini anayeingiza 1,000 kwa siku huwezi mwambia hili swala hata habari kua kuna corona utakuta 80% ya watanzania hawajui hadi sa hivi

Hata wakinunua ventilators sidhani kama watamudu number ya wagonjwa,we are fucked up for real. Hio suggestion ya pili nimeipenda labda wataalamu watasaidia tule nini tu boost immunity zetu,ila next few weeks sijui itakuaje ..mimi sitaki hata ku imagine.
 
Mm nmewaza hio levo siti na wazo lako la fimbo
Japo hata hio levositi wanagombania
Tatizo lipo kwenye kugombania, ilà level seats imefanikiwa 100%. Na kuna routes watu wanaweka foleni na distance ya kutosha tu.

Elimu ni muhimu sana kipindi hiki kigumu, lockdown ni almost impossible, labda kwa individuals waamue kwa uwezo wao kujilokisha.
 
Sioni sababu watu kuchangia, serikali ibebe mzigo wa kutoa huduma zinazotakiwa na kutoa elimu kwa kila raia. Yaani badala ya serikali kutoa yenyewe ipo kwenye receiving end? Serikali bahili wapare wanasubiri.
 
hello JF,

Baada ya hili balaa….kuna umuhimu wa serikali kuwa na record za watu wake..ni procedure itakayo kuwa kubwa and costly lakini worth it....

Cha kumshauri Ummy Mwalimu, ni kutopanic hili ni jambo la dunia....

Second kupitia records walizo nazo, wa identify sehemu zenye maambukizi zaidi na zile hela zilizotolewa juzi na Rais Magufuli ziende kujenga hospitali in these high priority areas....

Third Mkuu Ummy ungeweka mfuko/ fund/hotline watu wachangie..utahitaji funds kukabiliana na hili dubwana.....

Lengo la kuanzisha mada hii ni kuanzisha kampeni ya KIFIMBO CHEZA,LOL,

Serikali kama inaweza inunue FIMBO kwa kila mtanzania

Yes! kila mtu awe na stick yenye mita moja,..kelele zipigwe watu wakienda huko kwenye mashughuli ya kila siku wakae mbali na wengine…kwa umbali wa fimbo( one metre)

Asiyekua na stick akamatwe!

Yes social distancing ni only reliable method inayoonyesha matokeo postive huko dunia ya kwanza...lockdown inazingua..na sidhani kama tutaiweza…

So,na sisi tuikazanie hii distancing...well with modification...yetu ni lazima..

Karibuni kwa mawazo...
Itakumbukwa kuwa Serikali,kabla hata gonjwa hili halijaingia Africa ilishasema (kupitia Waziri mwenye dhamana ya afya za watanzania) kwenye vyombo mbalimbali vya habari,kwamba imejiandaa na kujizatiti kukabiliana na gonjwa hili kikamilifu.

Hivyo wananchi hatuna haja ya kuhofu kuhusu mipango ya Serikali katika kukabiliana na janga hili.

Hofu labda ni kwa sisi wananchi kutofuata maelekezo yanayotolewa na serikali kuhusu namna ya kujikinga na gonjwa hili.
Wananchi tulio wengi tumekuwa na tabia ya kutekeleza sheria na maagizo mbalimbali ya serikali kwa shurti na sio kwa hiari.

Tabia hii isipokoma, (na Mungu apishie mbali) safari hii tutapukutika mpaka majumba tuliyojenga yatabaki tupu.
Natoa wito kwa Watanzania wenzangu, tuache hii tabia ya kutii sheria na maagizo ya serikari kwa shurti.

Imekuwa ni kawaida,kwa mfano, dereva hafungi mkanda au havai kofia ngumu mpaka amuone trafiki.
Na kama wakati huu pia tutaendelea kutovaa barakoa,kukusanyika nk mpaka tusimamiwe na vyombo vya dola basi TWAFAAA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom