Kukaa Uswahili Kuna Raha Zake..

Kukaa Uswahili Kuna Raha Zake..

narudi zangu saa hizi..

Nakuta kasheshe mtaani jamaa kamtia mimba demu m1 maskini alikuwa hajui demu ana mtoto mdogo wa miaka miwili.

Demu kahamia kwa jamaa mara mjomba bi mkubwa n kaka wa huyo demu wamemvamia jamaa oooh kama umempenda binti yetu mlee na mtoto. Full kasheshe. Jamaa kawa mpole.

My take:
Baba mtoto yuko wapi hadi asakiziwe jamaa?



sasa hiyo raha au karaha??
 
We Lara1 una visa wewe! Mara bosi mnoko, mara rafiki uliyempeleka home anawatega kaka na dingi nyumbani, mara kibinti cha miaka 13 kimeanza ufuska shuleni, mara una mpango wa kunukisha hili soo la mtoto anayebaguliwa duh.

Ujue familia mnaishi watu ZAIDI YA UMATI WA MTUME!!!!!!!! Hata kuku mkipika inabidi MPIKE KUKU KUANZIA 4 NDO ZITOSHE!!!!!!!!! CHEZEYA!!!!!!!!!!! Kwenye wengi pana mengi!!!!!!!!!! Sasa nyie mko familia 4, visa utavitoa wapi!!!!!!!!!? Mi nikianza kusikiliza siku ya kila mmoja ilivoenda nshapata visa zaidi ya 10!!!!!!!!!! Upo hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom