Kukaa Uswahili Kuna Raha Zake.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukaa Uswahili Kuna Raha Zake..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by adakiss23, Oct 26, 2012.

 1. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,254
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Narudi Zangu Saa Hizi..

  Nakuta kasheshe mtaani jamaa kamtia mimba demu m1 maskini alikuwa hajui demu ana mtoto mdogo wa miaka miwili.

  Demu kahamia kwa jamaa mara mjomba bi mkubwa n kaka wa huyo demu wamemvamia jamaa oooh kama umempenda binti yetu mlee na mtoto. Full kasheshe. Jamaa kawa mpole.

  My take:
  Baba mtoto yuko wapi hadi asakiziwe jamaa?
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Akome kupekua hovyo next tmy atakatwa na vyupa!
   
 3. G

  GONGOMA Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  naishi uswahilin hakuna mambo ninayoyaogopa kutongoza wadada wa huku na wakiju ujaoa watakuzoea noma tuwe makin mabachela
   
 4. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Baba wa mtoto atakuwa alikimbia 7bu ya utaratibu wanaotumia ndugu dada, wasipoangalia na huyo atakimbia.... baadaye atakuwa na watoto watano wa baba tofautitofauti............
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,938
  Likes Received: 5,089
  Trophy Points: 280
  waswahili wanasema ukipenda boga penda na ua lake....
   
 6. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,599
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 180
  Uswahilini noma watoto wa kike wengi hawana shughuli wala elimu, wanachongojea waolewe na watunzwe. Ukijichomeka tu, unategewa bomu, ukikanyaga baada ya miezi miwili unaambiwa nina mimba yako na sina mpango wa kuitoa!!
   
 7. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,751
  Likes Received: 1,471
  Trophy Points: 280
  hahahhaahhahhahaha eti nina mimba yako na sina mpango wa kuitoa!ndo yanawafaa nyie haya majibu ya aina hii!
   
 8. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,599
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 180
  Watoto hawana maana hata kidogo, hata kama hutakaa nae, utasumbuliwa vibaya mno. Kila wiki anataka hela ya hiki na kile kwa kisingizio cha mtoto. Binti mmoja kaja Ghetto one day analeta pozi za "mi nakuamini tusitumie kinga", nikamwambia mama huo utaratibu sina kama vipi sepa!!
   
 9. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 555
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Walikuwa wanapima upepo wakwanza na wapili wapi kuna ahuweni jamaa zigo likaangukia kwake
   
 10. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  usije ukajaribu hata siku moja umeoa mwanamke ambaye alikwisha zalishwa zamani ukamlea na kumgharimikia huyo mtoto ambaye siye wako jua kabisa kwamba hata ukimsomesha na kumgharimikia akikua na kupata maendeleo hata kukumbuka kabisa badala yake ataenda kumtafuta baba yake aliyemkimbia na kumkataa na kama ameshafariki ataenda kuwatafuta ndugu wa baba yake waliomkataa na kuanza kuwaonga na kuwanufaisha kwa kazi uliyoifanya wewe na mateso uliyopata wewe kwa kumsomesha.Hili sio utani nimeliona sio mara moja ni mara nyingi sana usije kujisumbua na mtoto ambaye si wako hata siku moja au utakuja juta milele.
   
 11. s

  souvenir Senior Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndo mana wanawake huwa hawataki kulea watoto wa nje its good mmeanza kuelewa madhara yake
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,218
  Likes Received: 7,733
  Trophy Points: 280
  Acha hii mambo kaka, ni ya KIZAMANI sanaaa, MTOTO HANA KOSA NI MALAIKA, Kama uwezo unao we mlee tu na Mungu Atakubarikia. Hata wa kwako mwenyewe waweza kumlea na AKAKUTELEKEZA VILE VILE. Stop the stereo typing people, mtoto ni malaika na nagekuwa na uwezo ANGEOMBA azaliwe in a different situation, but it was not its choice, kila mtoto ANA RIZIKI YAKE kwa mola, kwa kumlea tu yule malaika Mungu atakufungulia milango kibao sio mpaka ungoje akue.


  Agirl can make a mistake, but dnt make the baby pay for it. Yaani i have a sister ameolewa ila anaishi na mtoto alimzaa usichanani, The husband amekubali waishi nae ila ANAMBAGUA sanaaa huyo mtoto, n my sis anaona sawa tu ili kubembeleza NDOA. MF!!!!!!!!! Nakerekaga sanaaa! Iko siku nitamwambia baba wa mtoto aende akachuke Mtoto wake!
   
 13. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,254
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Kumbe baba mtoto yupo?

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  na bado itakuja mimba na si ajabu isiwe ya kwake
   
 15. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,704
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kukuzoea njoba piga ondoka hakuna kuruhusu kuzoewa. Lakini kupanda kabisa hiyo nooomaaaa! Unapita kwenye shamba ya wenzio unapanda mbegu kabisa?
   
 16. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,218
  Likes Received: 7,733
  Trophy Points: 280
  Yupo hai! Tena anaishi kifalme huko ulaya na familia yake ingine. Ishu ni kuwa walikuwa wote ila things didnt work out, ila ndo walishapat mtoto, basi mama akashinda custody, alipompata huyu new lovee ndo wakaona wameza ila mtoto wanaishi nae. The dady anajua mtoto yupo na mama yake atakuwa poa, sasa mi ndo nataka nikinukishe.
   
 17. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,254
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakubaliana na ww sana! Nilikuwa na demu m1 wa kihindi alikuwa mzuri kweli mpole mjanja ana akili ya maisha nn. Ila tatizo alikuwa na mtoto anakaa na mama yake. Na aliniambia mwenyewe kuwa ana mtoto. Lkn nkaachana nae. Ni ngumu sana hata ndugu zako watakuona wa ajabu sana. Kuna k2 huwa naaamini demu akiamua kukuzalia mtoto jua anakupenda sana cz kuzaa ni either kifo au uhai. So going thru kifo au uhai anakupenda kiukweli. N naamini pia always mtoto ni kiungo. Kamwe hamuwezi kuachana moja kwa moja. Lazima mtakuwa mnakumbushia vya zamani one tym one tym

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 18. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,254
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Kweli wanaume tunatofautiana yaani mtoto wangu alelewe na mwanaume mwingine!! Je atapata malezi salama ambayo mi nataka mwanangu awe nayo?

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 19. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,218
  Likes Received: 7,733
  Trophy Points: 280
  NOT NECESSARLY!!!! Wasichana wengi hawapangi kuzaa ila NI BAHATI MBAYA sababu ya kutumia Calenda, na kukosa ujasiri wa kuchoropoa. Wengi sanaa kama wangeweza kurewind maisha wasingebeba mimba. Na baba mtoto mkikorofishana BETRAYAL YAKE NI KUBWA SANAAA si rahisi mtu kusamehe wala kusahua kirahisi!!!!!!!!! Wengi hata hawaongeagi.

  Wasichana walio zaa ni wazuri sanaaa, 1. kupata mtu mwengine wa kuwaoa inakuwa kama a golden chance, na kama life has decided to give them a last chance, hawakubaligi kuipoteza kirahis!! Watafagia chini upite. Na wanakuwa wamekomaa na wamejua udanganifu wote wa MIDUME.
   
 20. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,254
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Ni kweli usemalo wanawake wengi waliozaa mapema na kuja kuolewa baadae na jamaa mwingine wanatulia sana afu wanawaza maendeleo 2. Ila kwa mwanaume kuoa demu mwenye mtoto tayari inataka ujasiri sana. Mimi binafsi siwezi. Nna cousin yangu m1 alipata mimba baada ya kumaliza mlimani jamaa haeleweki. Nashkuru kuna jamaa kamuona mwaka juzi na wanaishi fresh sasa hiyo ni exception cz huyo cousin yangu mzuri afu bonge la mwanamke yaani.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
Loading...