Kukaa muda mrefu bila kufuatilia habari ni hasara sana!Kumbe hawa watangazaji na waandishi walishahama kitambo

2015 Spencer Lameck alikuwa anarepoti habari za chadema kwenye kampeni na Sam Mahela alikuwa anarepoti habari za Kampeni ya Mkuu wa magongoni.

Matokeo baadaye figisu ikafanywa Spencer akaachishwa kazi ITV ila Sam Mahela akapata shavu TBC

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Kazi kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia Kuna siku nilikua nasikiliza ndinga mpya town East Africa radio nashanga simsiki mhaya David Ronyagira na mabadiliko yamekua kibao japo kimekua kizuri zaidi ila kimepoteza madoido flani, mara ghafla kesho yake simsiki zembwele na kipindi hakipo kimekuja sijui kipindi gani Cha mipasho yakina mama

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Usiku huu katika pitapita zangu za mabandani nikitafuta hata muogo wa kumalizia siku ghafla nikaona taarifa inayohusiana na mabasi ya kituo cha mabasi Ubungo Dzm,issue kubwa ilikuwa ni pasaka.

Kukaa kdg ghafla mwandishi anayeripoti hio habari sio mgeni masikioni mwangu,nikasema ngj nisubiri.

Kuendelea kukaa kdg ghafla nikasikia nikiripoti kutokea kituo cha mabasi cha Ubungo mimi ni “Henry Mabung'o” wa TBC Aridhio-huyu jamaa nilimfahamu kipindi hicho akichapa kazi pale ITV

Nikashangaa sana na kujihisi kumbe nipo nyuma kitambo sana,kuongea na baadhi ya watu pale ghafla wakaniambia hadi wakina Sam Mahela walishama kitambo Duuh!!!balaa hili


Ghafla akili ikanijia kuwa kuna yule jamaa aliyekuwa anaitwa Emanuel Buhohela,hata sijui aliishia wapi


Hebu ongezeni na kwenu ili mnitoe usingizi kwa sabbu saiv najihisi nipo nyuma sana ya dunia,japo nilikuwa mmoja ya mfuatiliaji wa habari sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Muogo ndo nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani siku hizi kuna TBC aridhio? Hilo neno "Aridhio" wenzako wa TBC wakilisikia sasa hivi wanatimua mbio.
 
Back
Top Bottom