Job truetrue maamaeeHabari zenu,
Kuanzia sasa sitojibu mtu anaeniuliza "Wewe jana si uliaga, inakuaje bado upo".
Ukiniuliza swali hilo nakuhesabu kuwa wewe ni Hater, na mimi Mjanja M1 huwa sijibu ma-hater.
Huu ni mtandao wa Tajiri Max, yeye ndio mtu pekee anapaswa kuniuliza hilo swali kwasababu namjazia Server zake.
KAMA UNAJIJUA WEWE SIO TAJIRI MAX AU HAUNA UNDUGU NA TAJIRI MAX BASI KAA KIMYA.
Uzi Tayari.
Mjanja M1 kwasasa napatikana Kuala Lumpur Malaysia 🇲🇾
Nipo hapa JF kuinteract na watu, naheshimu kila mtu.Ulikuja vizuri sana.
Umeanza kuleta mambo ya ajabu.
Utapuuzwa.
Mi mshamba, we mjanja zijakuzidi chochote😂Nipo hapa JF kuinteract na watu, naheshimu kila mtu.
Kama wewe unanichukulia tofauti, nakupa pole sana.
Kuishi na watu wenye tabia tofauti ni kazi, nimejifunza jana na ninajaribu kwa mara nyengine tena.
Jana kuna watu walinitamkia maneno na kuonyesha wamefurahi mimi kusepa, siwezi kuwajibu watu hao sababu yamimi kurudi humu.
NIHESHIMU NIKUHESHIMU.
PEACE.
Sii ulisema hujibu mkuu, mbona umenijibu?Wakati wenzako wanajifunza kusoma na kuelewa wewe ulikuwa unasugua vitunda vya ubuyu?
NakaziaMi mshamba, we mjanja zijakuzidi chochote😂
Punguza tu kuweka mabandiko yasiyo na ulazima, halafu utani, matusi mbona kawaida mitandaoni, punguza hasira.
Unawaaaaza mambo madogo.
😹😹😹Job truetrue maamaee
Nimekuwa addicted Mkuu, chochote kinachokuja akilini mwangu huwa naandika as long as sivunji sheria na wala simtukani mtu kwangu ni sawa.Punguza tu kuweka mabandiko yasiyo na ulazima, halafu utani, matusi mbona kawaida mitandaoni, punguza hasira.
🤣 au basi acha tu mkuu ila unapenda kujipa umuhimu sehemu pasipo na umuhimu kwanini..?Nimejifunza kuishi na watu ni kazi, kwahyo maneno yako nayaheshimu.
UPENDO HUSHINDA CHUKI.
Jiulize kwanini unaniita Mchawi?huna lolote huna impact humu jf bado ni mchawi tu
SanaUlikuja vizuri sana.
Umeanza kuleta mambo ya ajabu.
Utapuuzwa.