Kujua namba yangu ya vodacom

Kujua namba yangu ya vodacom

Jahom

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2008
Posts
351
Reaction score
33
Wajameni naomba msaada wa kujua namba ya simu yangu ya voda niliyoichukua tangu mwezi wa nane au tisa kwa ajili ya internet, ila sikuitumia. Sasa nataka nianze nayo lakini sijui namba yenyewe ili nipate salio rusha.
 
logic ndogo tu ndio hadi unakuja kujaza saver huku JF. Mbeep rafiki yako.
 
logic ndogo tu ndio hadi unakuja kujaza saver huku JF. Mbeep rafiki yako.

Haina hata senti ya kubeep, hata mimi nataka kutumia kwenye ipad kama yako ndugu yangu.
 
Haina hata senti ya kubeep, hata mimi nataka kutumia kwenye ipad kama yako ndugu yangu.

Kama haina hata senti si unaongeza vocha ili ubeep!! Kama unatumia iPhone nenda settings-phone-my number utaona number yako
 
Uvivu wa kufikiri ni ugonjwa, fuata ushauri huo wa wadau hapo juu
 
Uvivu wa kufikiri ni ugonjwa, fuata ushauri huo wa wadau hapo juu

Inawezekana wamenifungia, nina vocha za elfu 30 nimejaribu kuingiza inadai network error. Huduma kwa wateja inadai niangalie namba vizuri nipige tena, lakini display inaonesha ni Huduma kwa Wateja.
 
Unatoka shina lipi la CCM?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unataka kuambiwa nunua vocha ya kukwangua, uweke ili upate salio? Unajua jinsi ya kuweka salio kwa kutumia pc ama ipad?
 
Unataka kuambiwa nunua vocha ya kukwangua, uweke ili upate salio? Unajua jinsi ya kuweka salio kwa kutumia pc ama ipad?

nataka nimpe No. muuza vocha anirushie airtime. Kurecharge kawaida haitaki.
 
*140*namba ya mshkaji# then check kwa mshkaji utapata no yako.....kama njia hii nayo inakugomea tupa kuleee hiyo line na kusaka nyingine.
 
Ila kama umefungiwa hauwezi kuiactivate kwa salio la kurusha. Hapo we nenda voda shop tu utapata msaada zaidi
 
ni lazima uwe umetoka sina fulani la ccm. Haiwezekani kalogic kadogo kawe tatizo.
 
Back
Top Bottom