Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,257
- 144,341
Ngoja nikae, wakija na majibu nisikie
Huku pwani nikimpa samaki nimepiga, hawana mambo mengi...Hujawahi kukutana na mdada wa hivyo?
Hilo lipo sana, maana Kama ilivyo kwenu wanaume huwa mnawafata wadada wenye vigezo mnavyohitaji, na kwetu ni hivyo pia tunavitu tunahitaji toka kwa mwanaume na kwenye maongezi yenu huwa tunajua Kama ndie ama sie. Kwa mfano najitolea Mimi nikikutana na mwanaume alafu story zake anaanza kujisifia mara nina gari mbili mara nyumba nne sijui biashara nyingi tu huyo kwake sirudi Ng,ooo na namba yake naiblock
Hekima ni kitu kikubwa najua hata wewe kuna mtu unaweza sikia maongezi yake ukapata picha huyu ni mtu wa aina gani, nimetoa mfano hapo juu mtu ana majisifu ya kijinga kwa kuhisi kila mwanamke anazuzuka na Mali anaongea story ambazo mtu anaejielewa hawezi ongea naweza kumsapoti ili afunguke zaidi hapo ndio napojua hizi ni pumba na huu ni McheleSasa kwa mfano wewe ni maongezi gani ambayo yanaweza kukufanya ujue huyu ndiye?
Hekima ni kitu kikubwa najua hata wewe kuna mtu unaweza sikia maongezi yake ukapata picha huyu ni mtu wa aina gani, nimetoa mfano hapo juu mtu ana majisifu ya kijinga kwa kuhisi kila mwanamke anazuzuka na Mali anaongea story ambazo mtu anaejielewa hawezi ongea naweza kumsapoti ili afunguke zaidi hapo ndio napojua hizi ni pumba na huu ni Mchele
Mara nyingi mtu akikujibu hivi anadanganya, labda upate maelezo mengine toka upande wa pili.Nikashangaa kidogo, hivyo ikabidi nimwulize swali jingine kuwa kulikoni kusiwepo na mtoko wa pili wakati huu wa kwanza umesema umeenda vizuri tu na kwamba jamaa ni mtu poa.
Akanijibu na kusema kuwa licha ya kwamba jamaa ni mtu poa na mwenye mafanikio maishani, bado hadhani kwamba jamaa ndo anayemfaa.
Sidhani, kuna elements chache waweza kujua kwa mara ya kwanza, lakini kusema 'najua kuwa huyu ndiye au siye', hasa kama unataka kuwekeza kabisa pia sio kweli.Akasema kuwa mara nyingi huwa anajua tu mara moja kama huyu jamaa ndiye ama siye.
Sidhani, kuna elements chache waweza kujua kwa mara ya kwanza, lakini kusema 'najua kuwa huyu ndiye au siye', hasa kama unataka kuwekeza kabisa pia sio kweli.
Siku ya kwanza mala nyingi huwa ni siku ya kumsoma mtu. Ingawa nahisi siku moja haitoshi. Ila niliwahi mala nyingi kufanya hivyo. Siku ya kwanza ya mtoko najua huyu ni mtu sahihi kwangu au laa!. Na mala nyingi kama nimeona sio asitegemee ataniona tena ingawa simwambii. Nilikuwa namsoma mtu huyo na kuona kama tutaendana. Anavyoongea, anavyolipa bili na maongezi yake anaongelea vitu gani, vyote vilinipa jibu kama nimeingia choo cha kiume au nipo sehemu sahihi.
Athari za Lugha mamaMaoni mazuri ila 'r' vipi?
Hujawahi ona mdada au hata mkaka mara moja tu ukasikiliza story zake na ukasema huyu hatuwezi endana au hawezi kuwa rafiki yako? Nahisi wewe ni me, hujawahi ona mdada mrembo ukamsifia Ila ukaja sikia maongezi yake ukamdharau na kumwona hafai? Naamini hilo lipo na huwa linatokeaMara nyingi mtu akikujibu hivi anadanganya, labda upate maelezo mengine toka upande wa pili.
Sidhani, kuna elements chache waweza kujua kwa mara ya kwanza, lakini kusema 'najua kuwa huyu ndiye au siye', hasa kama unataka kuwekeza kabisa pia sio kweli.
Athari za Lugha mama
Yap. Sio issue sana lakini.Lugha mama ni Kisukuma?
Haya ni matunda ya laisi wetu wa sasaLugha mama ni Kisukuma?
Hujawahi ona mdada au hata mkaka mara moja tu ukasikiliza story zake na ukasema huyu hatuwezi endana au hawezi kuwa rafiki yako? Nahisi wewe ni me, hujawahi ona mdada mrembo ukamsifia Ila ukaja sikia maongezi yake ukamdharau na kumwona hafai? Naamini hilo lipo na huwa linatokea