hii definition naikataa sababu imeanza na female, kwani hakuna wanamme gold diggers?
woote wanajiuza, mwanamke/mume ktk ndoa asiye na kazi ya kumuingizia kipato chochote anayeishi kwa kumtegemea mwenzie kwa kila jambo atakuwa anajiuza utofauti wake na changudoa ni kuwa 1 ana mteja mmoja wa kudumu na changudoa anao wengi wa muda mfupi-mfupi.Tunatakiwa tutofautishe hapa,kwanza mfumo wa maisha na maumbile umewafanya wadada kuwa tegemezi,hivyo kuomba msaada kwa rafiki yake,mpenzi wake au yoyote isiingizwe kwenye mjadala huu,kujiuza kuko kwa jinsia zote,wapo wanaume kazi yao kujipodoa na kujipitisha mbele ya wanawake wenye hela ili wauze sura,huku ni kujiuza,hata wale kaka poa wanapokaa barabarani kutafuta watu wawape hela in return kwa kuingiliwa,huku ni kujiuza,na wale dada poa nao ni hivyohivyo,so mwanamke anapokuwa na mpenzi wake halafu akawa anahudumiwa nae huyu hajiuzi!
woote wanajiuza, mwanamke/mume ktk ndoa asiye na kazi ya kumuingizia kipato chochote anayeishi kwa kumtegemea mwenzie kwa kila jambo atakuwa anajiuza utofauti wake na changudoa ni kuwa 1 ana mteja mmoja wa kudumu na changudoa anao wengi wa muda mfupi-mfupi.
Mara nyingi tunasikia na kuona watu wakinyooshewa vidole kua "wanajiuza tu hao" au "anajiuza tu huyo".
Sasa nimejikuta najiuliza Je kujiuza kunaanzia wapi na kuishia wapi? Ni mpaka mtu atilie pamba matata na kusimama barabarani huku akisubiria atakaevutiwa nae atokee? Ni mpaka mtu awe na buzi ambalo linamuweka mjini? Vipi anaeoa/olewa kabisa kwasababu ya pesa na sio mapenzi. . . huyu nae anajiuza?
woote wanajiuza, mwanamke/mume ktk ndoa asiye na kazi ya kumuingizia kipato chochote anayeishi kwa kumtegemea mwenzie kwa kila jambo atakuwa anajiuza utofauti wake na changudoa ni kuwa 1 ana mteja mmoja wa kudumu na changudoa anao wengi wa muda mfupi-mfupi.
woote wanajiuza, mwanamke/mume ktk ndoa asiye na kazi ya kumuingizia kipato chochote anayeishi kwa kumtegemea mwenzie kwa kila jambo atakuwa anajiuza utofauti wake na changudoa ni kuwa 1 ana mteja mmoja wa kudumu na changudoa anao wengi wa muda mfupi-mfupi.
Wee wasema mkuu!Utakua una matatizo kwenye IQ wewe!