Kujiuza

huwezi muita mtu na mpenzi 'anajiuza' eti kwa kuwa anapewa pesa...

tfsiri sahihi ya wadada wanaojiuza ni machangodoa
na wanajiuza kwa yeyote yule bila kujali ni mpenzi wake au sio....

kama mdada anapenda kupewa pesa unaweza kusema anapenda kuchuna
au kuhongwa...

kuna tofauti ya prostitute na gold digger.......
 
mie naona kujiuza ni kufanya tendo la ndoa ili kupata kitu fulani, haijalishi unajiuza barabarani, kibarazani au maofisini, mtu mke au mtu mume anapokubali kufanya mapenzi ili kupata pesa, beer, kupanda cheo, kufaulu mitihani, kulipiwa kodi ya nyumba, kuhongwa magari hata kununuliwa lunch ili kupoza njaa yake huko ni kujiuza.
 
Kujiuza ni kutoa penzi ili upate kitu flani, sio mpaka usimame barabarani. Hbr yako lizzy?
 
Tofauti yake nini?



[TD="class: word"]gold digger [/TD]
[TD="class: tools"][/TD]

[TD="class: text, colspan: 2"]A gold digger is basically a female who admires successful men as opposed to mediocre and unaccomplished men. She lives by the code "lack of money can't buy love and happiness" She is the exact opposite of a "ditch digger" (a female who chases poor males). Then there is the "silver digger" who chases middle-class males probably because she feels she can't compete on a higher level with the caliber of females who score accomplished men. Self esteem problem.


[/TD]
 
Tofauti yake nini?



[TD="class: word"]prostitute [/TD]
[TD="class: tools"][/TD]

[TD="class: text, colspan: 2"]A women who sells her body to a variety of creeps, low-lifes and degenerates. The majority of her wages goes directly to her abusive scumbag pimp who takes pride in the fact that he arranges for her to be degraded at the expense of scum.
[/TD]
 
kupewa pesa na mpenzi sio vibaya
ila kuingia kwenye mahusiano kwa ushawishi wa kupata faida mbali na mapenzi ya kweli ndo mushkeli unapoanzia

 

nimekukusoma the big booooooooss of jf
 
kwa nini unadhani tutaishia kutukana watu weengi?

Na uhusiano wa 'wasioolewa hawajapata soko' na kujiuza ni upi?
 


Definitions za wapi hizo?
 
hii definition naikataa sababu imeanza na female, kwani hakuna wanamme gold diggers?

 
kupewa pesa na mpenzi sio vibaya
ila kuingia kwenye mahusiano kwa ushawishi wa kupata faida mbali na mapenzi ya kweli ndo mushkeli unapoanzia

mushkeli sawa but sio kuita kujiuza...
 
asilimia 85 ya wanawake wanajiuza au walishawai kujiuza katika maisha yao ,anaebisha aseme
 
hii definition naikataa sababu imeanza na female, kwani hakuna wanamme gold diggers?

wamesema basically.....ina maana na wanaume wapo
lakini wengi wao ni wanawake....
 
wewe kongosho una akili wewe!,wapo wanaume gold digger pia au?
 
hatutaki mtu aseme ye or no
haya unajipima mwenyewe na kujijaji

afu ujue unaweza jikonvisi hata kama unajiuza na usione crime yeyote unayoifanya kutegemea na mazingira ya uuzaji

social life haina magazijuto, ndo raha yake.

asilimia 85 ya wanawake wanajiuza au walishawai kujiuza katika maisha yao ,anaebisha aseme
 
ok, kumbe hata dikishinare ina mfumo dume!!

Ila kama na wanamme included, pamoja sana.

wamesema basically.....ina maana na wanaume wapo
lakini wengi wao ni wanawake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…