Wakuu naomba msaada wenu,nimehangaika mnooo kuondoa hii tigo caller tune nimepiga customer care mpaka nimechoka sijapata msaada wowote.anayefahamu jinsi ya kujitoa anisaidie tafadhali.asanteni
Thanx mkuu nimetuma ila hawajanijibu,ngoja nijaribu tenatuma msg Ondoa kwenda 15050