Kujitoa kwenye Kampuni iliyosajiriwa brela

kipusy

JF-Expert Member
May 7, 2010
639
321
Habari za kazi wana jamvi....

Nilikua na share na kampuni fulani ambayo ilisajiriwa brela na mimi nikiwa share holder na mmoja wa directors lakini mimi sikua owner wala founder wa hiyo kampuni. katika usajiri wa brela niliingia kama technical director wa hiyo kampuni(partnership). Sasa nataka nijiondoe kwenye hiyo directorship nianzishe kampuni yangu (individual). Procedures za kujiondoa zikoje wadau?
 
Back
Top Bottom