Kujitoa cwt

Kujitoa cwt

Mikanjuni

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
59
Reaction score
15
Mwenye sheria ya kujitoa kwenye vya vya wafanyakazi kama cwt atujuze tutaupata wapi. Hii ni kutokana na kuputishwa kwa muswada bungeni wa kila mtu kuwa huru na kuchagua union atakayo. Asante
 
Mh nadhani kujitoa ngumu. si itakufa kabisa wakiruhusu kujitoa
 
Back
Top Bottom