Similarity between CHAKAMWATA and CWTkianzishwe chama cha Walimu wa kutoka mbinguni pekee....... lakini eti wajitoe CWT!? Kuna tofauti gani kati kifuniko na kizibo?
Kwasababu Walimu/Wafanyakazi ni mazuzu na hivyo wao CWT/TUCTA wanashirikiana na serikali kuwanyonya wafanyakazi na ndio maana unaona kuna wengine wameona CWT wanafaidi, wameamua na wao waanzishe CHAKAMWATA, Wengine TTN na wote wanataka tu kukata KIJIMSHAHARA cha MWALIMU.Hivi kwanini CWT wanang'ang'ania kukata 2% wakati Wana vitega uchumi vya kutosha
Weka link mkuu itakuwa vizur sanaKuna group la whatsaapp nipm namba nikuunge linaitwa TUJITOE CWT
whatsaap
najitoaje mkuuCHAKAMWATA nimewafatilia YouTube, wapo vizuri si haba.
tueleze namna ya kujiungaSimilarity between CHAKAMWATA and CWT
1.Vyote havipo kwa ajili ya kutetea maslahi ya walimu.
Differences between CHAKAMWATA and CWT
1.Chakamwata makato ni 1% CWT ni 2%
2.Chakamwata ukistaafu unapata 50% michango yako uliyochangia
CWT hupati kitu
Wakikujibu,uni taqHivi kwanini CWT wanang'ang'ania kukata 2% wakati Wana vitega uchumi vya kutosha
Kuna group la whatsaapp nipm namba nikuunge linaitwa TUJITOE CWT
niunge 0682434322
whatsaap
06824343220627651101