Kujitoa CWT na kujiunga CHAKAMWATA

Weka namba yako,mi niko nachingwea,mwalimu na tutakuwa pamoja mkuu
 
CWT ni tawi la CCM, hakuna jipya
 
Hilo nalo ni jipu kwa waalimu na linatakiwa kutumbuliwa. Hivi mnajua pesa zinazopatikana kwa mwezi zinafanya nini na zinakuwa edited kivipi? Nitarudi kesho kuchangia vizuri
 
Hilo nalo ni jipu kwa waalimu na linatakiwa kutumbuliwa. Hivi mnajua pesa zinazopatikana kwa mwezi zinafanya nini na zinakuwa edited kivipi? Nitarudi kesho kuchangia vizuri
 
Naomba nikusahihishe mahesabu hayawezi kuwa edited badala yake yanakuwa audited.CWT kama zilivyo taasisi nyingine zinakaguliwa na internal auditors lakini tuchukue katiba ya CWT tuisome tuweze kujua mgawanyo Wa madaraka na kazi za viongozi na kamati ni zipi.Wewe kwenye kituo cha kazi kuna Mwakilishi Wa CWT ambaye ni mjumbe Wa mkutano Mkuu Wa CWT Wilaya je, ulishamwomba mchanganuo hata Wa bajeti ya Wilaya kabla yakuikimbilia taarifa ya fedha ya taifa?CWT inahitaji marekebisho madogomadogo lakini ni mkombozi Wa walimu.Benji ya walimu inaanzishwa may na nafasi za kazi zimeshatangazwa ukute kuna walimu kwenye sifa za kibenki wamekaa kulalamika halafu mje mseme hamkupata taarifa.
 
Wewe unaye sema walimu ni mburura you should come back to your senses otherwise you know not what you are talking.
 
bora mjitoe tu maana hakunq namna nyingne
 
Hakuna MTU ambaye hapendi kula cha msingi kufanya uchunguzi na kutoa maamuzi yako ya kipekeee peer group nomaaa
 
Mkuu njooni na huku Mara....tupo wengi tungependa kujiondoa kwa huyu kupe mnyonyaji...cwt...

Sapoti ipo ya kutosha ...ikiwezekana tuwasiliane tuone namna ya kushirikiana katika hili...

Moja ya mambo yanayoniumiza ni hili la cwt kukata mshahara wangu bila idhini yangu....na sioni msaada Wao kwangu...wamekuwa ni tawi la serikali hivo hawawezi kututetea tena....

AMKENI WALIMU WENZANGU...TUNANYONYWA NA HUYU KUPE
 
Kujitoa siyo rahisi! Tatizo lenu walimu mnapenda kutymika sana, mkishapewa kiposho cha 20,000/= huwa mnasahau shida zenu! Kwa ufupi ni sekta yenye mburula wengi sana pamoja na kujidai kwamba mnajua vitu lakini nyie ni mburula viongozi wa mburula wote!
 
Tupo wengi huku Mwanza tunahitaji sana tu kujitoa kwenye hili dubwasha la cwt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…