kujitapa kusoma chuo furani ndio kujua mambo au ni kwenda kuangaria mazingira na kuanza kujitapa

maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya marumbano kuhusu vyuo
bila shaka ulipata F' ya kiswahili
 
Naona una asili ya kikuria maana mleta mada kaboronga kiswahili dahh chuo furani badala ya chuo fulani. Kuangaria baadala ya kuangalia
 
Back
Top Bottom