kujitambua ni muhimu unapopata mafao

cmases

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
1,765
1,425
Wazee wengine bana!

Huyu mzee wangu ameniudhi sana. Alipata mafao yake pesa taslim milioni 120. Sasa alikuwa hajawahi hata kushika milioni 10 kama yake.

Akajiona yeye ni tajiri mkubwa, akanunua gari mbili za kutembelea, kiwanja na akaanza na ujenzi.
Sasa miezi minne tu imepita, kwenye kiwanja kuna msingi na kapandisha hadi usawa wa madirisha na hela imekata.

Ameanza kuweweseka na hajielewi kabisa.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom