Kujitambua ili kutimiza malengo

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
good evening

Napenda leo niongelee kuhusu kujitambua watu wengi leo wameshindwa kutimiza ndoto zao kwasaababu ya kutojitambua na kukosa uthubutu watu wengi wana ndoto na malengo katika kupambana na umasikini lakini changamoto za watu wengi ni kukosa uthubutu mtu unakuta ana hela ya mtaji na anapania kufanya biashara fulani lakini afanyi kwa sababu ya uoga na kutojiamini kitu kinachoenda kuhalibu ndoto zake kwa kiasi kikubwa

Na kitu kinachopelekea watu wasiwe na uthubutu ni kukosa marafiki sahihi yaani marafik ambao wamewakumbatia ni wale ambao wameshindwa katika maisha kwaio ndio wanakua washauri wao wakubwa bila kujua kuwa hao wanapenda kuona watu wote wanashindea na wakili kuwa kitu fulani ni kigumu sana katika maisha na ukishakili kugumu katika kitu fulani hakiwezi kuwa kitu rahisi kwa sababu umeshakubali kuwa ni kigumu chukua kutoka kwangu ukitaka kufanya kitu kizuri punguza washauri katika kufanya mamboo yako jifunze kwa walioshinda yaani wenye mafanikio
 
Tatizo wengi wa waliofanikiwa ni wabinafsi na ni wasiri hata kama ni marafiki,wanakukwepa kukupa njia. Wengi hawataki ufanikiwe hata kufikia nusu yao
 
Back
Top Bottom