BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
- Thread starter
-
- #81
Unalipiza kisasi cha Manu nini? naona masuali magumu kama interview ya Pentagon! heheh
Bek to suali lako: Unajua jambo lolote linalohusu mahusiano kwanza unapaswa umuelewe mwenza wako zaidi kuliko kujielewa mwenyewe, Kuna mwenza anaweza akaabyuzi udhaifu wako na kuna mwenza anaziba udhaifu wako kwa kujirekebisha.
Sasa kama una mwenza ambae anatafuta udhaifu wako autumie basi utahitajika kujishusha pale umefanya kosa tu na pia kwa tahadhari kwani anaweza akalitumia kosa lako kukuhukumu milele. Ila kama mwenza wako unapojishusha anaonesha kubadilika kutokana na kujishusha kwako basi ni vyema ukajishusha hata pasipobidi kujishusha na nakuhakikishia mwenza wa namna hii mwisho atajifunza kwako kujishusha na mwisho mtakuwa mnagombaniana kujishusha.
I might be wrong! Leo nina njaa ajabu pointi hazikuji.
kukumbushia kosa kunakujaje? tatizo kuna mwenza mwingine yuko too vulnerable with the same kosa! sasa kama ur past kila siku ina-catch up na ww, namaanisha kila wakati unafanya kosa lile lile ila unabadili mtindo lazma utakumbushiwa tu. na hakuachi walau ukasahau,anakuchakachua tena!inakera kukumbushwa lakini ukirudie kosa, utakumbushwa tu somehow! na kuomba msamaha kila mara kwa kosa lile lile (tena kosa strategic,hahaha,with clear planning and repeatitive,lol!), inakuwa haileti maana ya msamaha kamwe!
jamani mimi gf wangu ni mbish kupitiliza, na hata akikosea hawezi kujishusha au kusema sory hata cku, instead anakugeuzia kosa kwmba we ndio mkosaji, hapa 2lipo 2mefight nachukia sana anapokosea then anakugeuzia kosa. Hivi wanawake wote mko ivi? Je inakuaje kwny ndoa m2 anakaa na mtu 50yrs wanakaaje kama ndo mko ivi?
Wanawake wachache sana ambao ukijishusha
na kuomba msamaha hata kama kosa ni lake ,mambo yanakwisha na kuwa mazuri...
Wanawake walio wengi ukijishusha na kuomba msamaha.....
1.anakupanda kichwani na kuongeza ujeuri
2.anahifadhi hilo kosa,na kila siku utakumbushwa kuwa
alikusamehe kosa siku fulani.....
I prefer kuomba msamaha kwa vitendo....
Zawadi hivi,au out ya nguvu......
Ha ha BlackBerry, you're one in a million!!..nadhani linapokuja suala la kukumbushia, ni ngumu kwa binadamu kusahau kila kitu sema kuna wengine wamezidi kukumbushia yani badala ya kuishi maisha ya sasa kila siku mpo past tense.
mimi kama siko kwenye mood ya ugomvi
hata kama sina kosa naomba msamaha....
Tatizo wengine ukiomba msamaha unajipalia makaaa
Nimekusamehe lakini sitokusahau aliimba nani tena???
Unaomba msamaha hata kama kosa si lako ndo solution mambo yaishe na maisha yaendelee mbele
sasa hapo ishu inakuja nani aanze, ukikuta wote mangangari ndo hakitaeweka kabsaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hello wapendwa,
Kwa wapenzi/wanandoa linapotokea suala la mifarakano ya hapa na pale mpaka wengine kutaka kuachana, mnalichukuliaje suala la kujishusha? Hapa naongelea kuwa chini (kupunguza hasira/jazba) na kuweza kurudisha amani kwa kuanzisha maongezi au/na kuomba msamaha.
Pia, ukiwa na mtu asijependa kujishusha ilhali kakosea unakabiliana vipi na hali hii? Mana kuna mtu hakubali kosa yao wala kuomba msamaha hata kama amekosea.
Wimbo mahususi:- Ain't Too Proud To Beg - The Temptations
Siku njema katika kulijenga Taifa!...
<br />sasa hapo ishu inakuja nani aanze, ukikuta wote mangangari ndo hakitaeweka kabsaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
sasa hapo ishu inakuja nani aanze, ukikuta wote mangangari ndo hakitaeweka kabsaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hii Mada iko so sensitive kwangu mwe!!..................................BDA hiyo taktic ikizoeleka itakuumiza
1. Kuomba msamaha hata kama kosa si lako inawezakuwa njia nzuri ya kumaliza hacra zake kwa wakati huo. But hii inatakiwa iwe na follow-up plan yaani utafute siku mko vizuri uclear whatever mlichokuwa mnagombana (Hapa nitaambiwa una-bank makosa) Potelea mbali lakini ni vema mkawekana sawa kwani haichelewi kuwa kawaida - yaani akajua akifanya makosa utakiri wewe na kisha imetoka. Unamzoesha
Nani aseme samahani loo !!
Nimejitahidi sana "MAMA YAISHE BASI"
Nani aseme samahani loo !!
Nimejitahidi sana "MAMA YAISHE BASI"
Dah! Kujishusha nilishashindwaga.
Inabidi uwe unakumbuka ile ''Aliye juu mgonje chini'' . Maana wote mkiwa juu ni hatari kimahusiano/ndoa..!
nitamsukuma chini akanisubiri yeye.