abunerimgaya
Member
- Nov 13, 2012
- 78
- 15
Kuna jamaa mwenzenu nimekaa nae mtu mzima anajiongeleshaaa
af mtu mzima
anasema sema siri zake na mke wake
anajisifu sifu anafikiri mi namuona mjanja
kumbe ananiboa niko busy nachart
hebu nisaidieni
nimjibu jibu gani ambalo hata endelea kujisemesha semesha na asijisikie vibaya.