Bet upate hela km mwanamke nenda kadange masaa mawili una laki 2 mkononi,Kutokuwa na hela kunatia unyonge sana.
Hivi huku kujiona huna thamani kipindi cha hela husababishwa na nini? Au kuona aibu yani kama vile huko nje watu watakuwa wanajua huna kitu, au ile hali ya kujiangalia kwenye kioo uone unatisha umepauka, unajiona uko uko tu.
Kutokuwa na hela kunatia unyonge sana.
Yes but sio kujiangalia kwenye kioo kama ulivosema😁😁 ila kua broke hurts alotMy dear as long as wew ni binadamu na hii situation imekupata yani utauskia tu ule unyonge,its not always about us ladies ..note that!
hii ndio mindset mliokuwa nayo,kubet ni mchezo wa bahati nasibu unaweza shinda au kuliwa yani sina hela alafu niende nikajimalize?Your nat serious!..Bet upate hela km mwanamke nenda kadange masaa mawili una laki 2 mkononi,
Kabisa kuna feel fulan unapata ndoiyo hisia ya unyonge unajis una dhamani iv.ila ni hali ngumu sana.My dear as long as wew ni binadamu na hii situation imekupata yani utauskia tu ule unyonge,its not always about us ladies ..note that!
Ina leta stress sana inapelekea hata kupata mawazo kujiua kama ni hali umekuwa nayo mda mrefu.ila me naamin ni somo unapewa na Mungu before ajakubariki..trust me,yani ukijiangalia kwenye kioo unajiona umepauka,umechoka hata kutoka nje unahisi watu watakuzungumza au kukucheka
Dah hao cio marafiki.walijua hali yenu ni ngumu wakatumia uo mwanya.before hawakuwagi kukutongoza??Mume wangu aliachishwa kazi for two years, nashangaa mpaka marafiki zake walianza kunitongoza ....
Hahahahah sasa mumeo si hana hela lazma wahuni waombe site 😀Mume wangu aliachishwa kazi for two years, nashangaa mpaka marafiki zake walianza kunitongoza ....