Kujifunza programming bila kwenda chuo

Kujifunza programming bila kwenda chuo

😂 😂 😂 😂 ,wewe litoto ni libishi sijapata kuona.
Sawa naomba nijitoe kwenye league yako,it's not my level.
Achana na Huyo Mtoto kazi Hana....We ushangai Kila ukifungua huu Uzi unamkuta Active?
 
Sasa dogo mbona hujishtukii Uzi mzima Upo pekee yako kazi kutukana Wakubwa zako
Haya Basi Umeshinda watu hatutajifunza Tena Online tutaenda Vyuoni.....Na hao wanaokufundisha Vyuoni nao Walisoma Vyuoni na hata Waliowafundisha pia Walisoma Vyuoni (Infinite Regression)

Hata Newton Alifundishwa Law of Gravity chuoni kwa sababu Binadam Hana uwezo wa Kujifunza kufanya kitu kikubwa yeye mweyewe bila kufundishwa

PIMBI WEWE!
Bloodbastard kabisa ww! Yan kati ya watu wte niliobishana nao humu ww ndo ume exhibit the highest degree of ignorance, arrogance na stupidity.
Yan bila aibu unaongea uongo kuhusu instagram wakat unajua mitandao imejaa taarifa watu wanagoogle na ku confirm hapo hapo, una ignorance ya kiwango kikubwa sana!
 
Nitashare link za paid programming course ambapo mwenye kuhitaj anipm itampatia link atajiunga na udemy na atazipata hizo course free kabisa bila kutoa hata mia. course zenyewe zinanzia $199 but utazipata free kabisa.link yenyew niya telegram channel.ukimaliza course utapewa certificate yako.
Mkuu link iko wap
 
We jamaa unatia hasira sana hata najuta sijui kwa nini nimefungua kusoma huu uzi. Watu hatujaenda chuo lkn tunaweza kujifunza wenyewe vitu complicated kama A.I na IoT afu unakuja kusema wasioenda chuo wataishia front end.
Ngoja nikupuuze tu.
Hahahaha Oya Hilo Dogo sijui kabila gani Rafiki yangu...Au wapo kumi wanabadilishana tu kujibu Wakati sisi tunadhani yupo mmoja
 
Hii requirements iko dunia nzima hata marekani first world cheti kinapewa heshima.waliouweka utaratibu huu hawakua wajinga.
Nina rafiki zangu wawili ni mifano mizuri sana,ile tunaanza tu chuo jamaa wanajua vizuri sana kucode.

Wa kwanza alijifunza mwenyewe akiwa form five mpaka six sababu kaka yake alikuwa akisoma UDSM CS at the time nae akatokea kupenda,ila kaka yake hajawahi kuwa programmer mpaka muda huu coz hakuwa interested sana na programming.Huyu mtu mpaka tunamaliza third year alikuwa anajua lugha nyingi sana ambazo hazikuwa kwenye mtaala kabisa na mpaka leo ni untouchable anasimamia program kubwa sana.

Wa pili,huyu sijui hata alijifunzia wapi maana alikuja chuo akiwa kama mimi tu ila mpaka tunamliza first year alikuwa anajua lugha nyingine kabisa tofauti na zile tulikuwa tumefundishwa mpaka muda huo.Huyu mpaka tunakaribia kuhitimu third year alikuwa ameajiriwa tayari kama senior developer kazi iliyomfanya awe busy to point wakati anatakiwa afanye supp zake alikuwa Holand kikazi na todate jamaa hakuwa kurudi kufanya hiyo mitihani na kaajiriwa na zaidi ya kampuni tano mpaka sasa.

Ukiangalia kwa makini hiyo mifano miwili hakuna hata mmoja ambaye alipata skills kupitia walimu wetu wa chuo bali passion na kujituma binafsi.
mi nnachoona kwenye programming, issue ni kujituma na kutokata tamaa.
 
Bloodbastard kabisa ww! Yan kati ya watu wte niliobishana nao humu ww ndo ume exhibit the highest degree of ignorance, arrogance na stupidity.
Yan bila aibu unaongea uongo kuhusu instagram wakat unajua mitandao imejaa taarifa watu wanagoogle na ku confirm hapo hapo, una ignorance ya kiwango kikubwa sana!
Akili Huna Wewe ....!
We unaona Kuna mtu yupo upande wako
GitHub una Project ngapi mpaka sasa?
Stack overflow umejibu Maswali Mangapi?

Nimekuuliza hapo Nipe Historia fupi ya Instagram mpaka imefika hapa ilipo na Imeundwa na nani na Alikua anafanya kazi gani Wakati huo?

Una copy na kupaste utumbo Google usiojua hata maana yake ..Lofa wewe
 
Eti RucO na open university ni vyuo mbuzi hahahhhahah jamaa una dharau sana .

Vyuo vina intellectuals from UD na other versities wanafundisha hapo sasa una unawaitaje mbuzi.
 
Akili Huna Wewe ....!
We unaona Kuna mtu yupo upande wako
GitHub una Project ngapi mpaka sasa?
Stack overflow umejibu Maswali Mangapi?

Nimekuuliza hapo Nipe Historia fupi ya Instagram mpaka imefika hapa ilipo na Imeundwa na nani na Alikua anafanya kazi gani Wakati huo?

Una copy na kupaste utumbo Google usiojua hata maana yake ..Lofa wewe
Siitaji kuwa na watu upande wangu ,the law of nature is: majinga na ma mbumbumbu ni mengi kuliko watu werevu, huna unalolijua ,bloodbastard!
 
Rog chimera baada ya kumwaga nadharia nyingi ndani humu hebu sasa tuambie umefanya nini mpaka hapo ambacho kitaonesha umuhimu wa hayo unayoyapigia debe? Maadam nadharia yako unaiona ni sahihi tuambie umeifanyia nini Tanzania, Watanzania na dunia kwa ujumla baada ya kupata unachosema umepata?

Kuna project yoyote umefanya ambayo tuliosoma vyuo mbuzi na wasiosoma vyuoni twaweza kujifunza toka kwako?
 
Mkuu ,hii ishu is not from a personal perspective, nilichokiongea hapo ni general rule / procedure inayotakiwa kufatwa kwa na mtu yyt anayetaka kuwa na career katika maswala ya computing na information technology.

Mimi kufanya au kutofanya kitu chochote cha kutambulika na kukubalika na watu hakubadilishi rules na procedures, zenyewe zipo tu.

Kuhusiana na neno " mbuzi" ni msamiati tu wa lugha uliolenga kumaanisha kwamba hivyo vyuo ni less recognized and respected nationally and internationally compared to the others.It doesn't necessarily mean kwamba wanaotoka hivyo vyuo ni less qualified.infact developer yyt mwenye some kind of formal training ana advantage kubwa kuliko hawa wakujifunza tu trial na error .
 
Ndio maana nikasema unaongea nadharia huku ukiwaponda watu ambao nadharia wanaijua na wameenda mbali zaidi na kufanya kama sehemu yao ya kazi za kila siku. Kwa hiyo wana kitu wanakijua ambacho wewe mwana nadharia hutakaa ukijue mpaka uingie kufanya. Kwa hiyo jifunze kujifunza!

Mimi kufanya au kutofanya kitu chochote cha kutambulika na kukubalika na watu hakubadilishi rules na procedures, zenyewe zipo tu.
Kama hujafanya kitu inatakiwa ukae chini uwasikilize wanaofanya kila siku. Hata kwenye Chemistry si tulisoma kuwa Chlorine ina ina pungent chocking smell. Sasa kamuulize aliyesoma Alternative to practical akuelezee chlorine ikoje. Uone kama anaweza kuelezea sawa na anayechezea kila siku maabara. Ndio kesi yako wewe.

Kuhusiana na neno " mbuzi" ni msamiati tu wa lugha uliolenga kumaanisha kwamba hivyo vyuo ni less recognized and respected nationally and internationally compared to the others.It doesn't necessarily mean kwamba wanaotoka hivyo vyuo ni less qualified.infact developer yyt mwenye some kind of formal training ana advantage kubwa kuliko hawa wakujifunza tu trial na error .
Open University ni less recognized? Less respected? By who? You?

Kwa taarifa yako mpaka natoka chuo OUT ndio kilikuwa chuo chenye mtaala bora kuliko hata UDSM ambapo walikuwa bado wanasoma Pascal. Wanafunzi wa Bsc ICT pale tulikuwa wachache na hivyo ratio ya mwanafunzi kwa mwalimu ilikuwa the best kuliko UDSM kwa mfano ambayo ina wanafunzi wengi. Kiufupi hujui unachoongea. Siku ukipata nafasi pita pale ukajifunze mawili matatu!

Siku nyingine uache kuita vyuo vyenye heshima yake vyuo mbuzi. Jifunze kuongea kwa heshima!
 
IMG_5313.JPG

Ngoja niendelee kuji self-teach, nione kama hii theory ya mleta uzi inafanya kazi
 
Ndio maana nikasema unaongea nadharia huku ukiwaponda watu ambao nadharia wanaijua na wameenda mbali zaidi na kufanya kama sehemu yao ya kazi za kila siku. Kwa hiyo wana kitu wanakijua ambacho wewe mwana nadharia hutakaa ukijue mpaka uingie kufanya. Kwa hiyo jifunze kujifunza!

Kama hujafanya kitu inatakiwa ukae chini uwasikilize wanaofanya kila siku. Hata kwenye Chemistry si tulisoma kuwa Chlorine ina ina pungent chocking smell. Sasa kamuulize aliyesoma Alternative to practical akuelezee chlorine ikoje. Uone kama anaweza kuelezea sawa na anayechezea kila siku maabara. Ndio kesi yako wewe.

Open University ni less recognized? Less respected? By who? You?

Kwa taarifa yako mpaka natoka chuo OUT ndio kilikuwa chuo chenye mtaala bora kuliko hata UDSM ambapo walikuwa bado wanasoma Pascal. Wanafunzi wa Bsc ICT pale tulikuwa wachache na hivyo ratio ya mwanafunzi kwa mwalimu ilikuwa the best kuliko UDSM kwa mfano ambayo ina wanafunzi wengi. Kiufupi hujui unachoongea. Siku ukipata nafasi pita pale ukajifunze mawili matatu!

Siku nyingine uache kuita vyuo vyenye heshima yake vyuo mbuzi. Jifunze kuongea kwa heshima!
Mkuu,unazijua metrics zinazotumika ku rank vyuo?
Hii ni topic ambayo siitaji hata kuanza kubishania, the fact of the matter is OUT ni chuo ambacho kiko popular na watu wachache kama wewe ambao for some reason mlishindwa ku attend vyuo vingine kwa utaratibu wa kawaida mkaenda kusoma online.
Hauwezi hata siku moja ukakilinganisha na vyuo nilivyopendekeza kwenye andishi langu, this is a known fact hai hitaji ata kulumbana.
 
Aisee! acha nifanye mambo ya maana. Hakuna maana kuongea na mtu ambaye hajui anachosema, yet anajifanya mjuaji kuliko kila mtu. OUT hakuna degree ya ICT ya online. Usiandike ilimradi umebisha.

Yaani uko shallow vibaya halafu much-know mpaka naona napoteza muda wangu bure tu!
 
You better do that, huijui OUT vizuri so ni bora ufanye mambo yako kuliko kubishia usichokijua.
 
Well, the only logical point uliyosema ni, "you might need a mentor to learn some foundations(not necessary though)"

Sasa ngoja nikupe mfano hai kuhusu mimi, nimepitia both learning methodologies, though nili drop out chuo mwaka wapili(DIT), nakubase kwenye self learning full time, the next one and half years of keeping up with pirated books, coursera, mit opencourseware, stack exchange and the likes, and opensourse contribution of course landed me a 3month internship on one of the biggest French multinational company, 2 month later(kabla hata ya kumaliza internship yenywe), they gave me a full time offer as a Junior Dev. One year later i switched to couple different roles i.e IT Officer & DevOps Engineer, Tech lead etc.
What got me an intern offer you ask, well, not DIT certificates but rather the little experience i had at the time, the Tech enthusiasm i showed (especially Emerging), my problem solving skills, both natural and technical which i learned from coursera NOT DIT (note i never paid a penny for that, thanks to financial aid) and my quick learning.
What are my skills you ask, well they range from understanding complex quantum computing shits, machine learning algos, to copy pasting stack overflow solution 😀 , jokes aside, i am currently leading a team of extraordinary devs, building an in house block-chain base solution, plus other interesting ml models for our day to day operations, remember i don't have a fucking degree, why would i need it after all?
How did i archive that with out a degree, well, if you're not going to once again try read and understand what ub16 is saying, then i think only god knows the secret source code i guess(and i hope you keep believing that self learning is magic, cause that will obviously render me a sorcerer aka Gandalf and shit 😀 ).

My verdict: Acha kukatisha tamaa mwenye nia na uwezo wa kuji commit kisa tu wewe bichwa lako zito, matter of fact, any Science/Engineering fields ain't for people with your mentality, it will be best for you ukiacha nazo kabisa. Oh, and learn to use LOGIC in your light weight arguments.

PS: my current title is Technical/Digital Manager, in case u'll be interested kujua. And I'm ready to provide evidence of my claims if need.

Yours truly, self learner and DIT drop out 🙂 .
Ww uliyedrop out DIT ndo bichwa lako zito, ulishindwa ku keep up na pace ya material ya pale ukaona ujifunze at your own pace! ni vyema umejianika mwenyewe .

DIT tu ilikushinda kumaliza course,alaf unajifanya expert wa machine learning na blockchain,hahaha mkuu unachekesha.
Uko kazini kwako unafanya vitu shallow sana ndo maana vinakupa impression kwamba u are an expert.jitathmini!
 
Well, lets do some basic math, shall we;

Nimejifunza 3 to 4 years worth materials in 1.5 years, then nimetumia 1 more year kugain field experience and improving my competence. To further simplify that for you, i used only 2.5 years(you do know the answer of 1.5 + 1 right 😀), hence end of basic math.

Sasa sijui hata unamaanisha nini unaposema, "ulishindwa ku keep up na pace ya material ya pale ukaona ujifunze at your own pace"! unaweza elaborate tafadhali?
Nikuulize, kati ya material ya MIT,Stanford and the likes na DIT yapi yanaweza kuwa faida zaidi??

I'm wondering, do you even have/use logic and common sense? how is that even hard to comprehend!!

PS: Labda nikufikirishe kidogo, ushawahi kujiuliza Newton/Leibniz alifundishwa na nani Calculus??
 
Mawazo ya kimagu magu ndio haya.. yaani sisi watz tuna fikra za hofu na ujinga kupitiliza
Kapata degree yake basi anaona ndio kafika anadharau wengine. Atembee kidogo duniani aone vitoto vya High school tuu vinavyojifunza vyenyewe na kufanya vitu practical ..... na sio kukariri ma technical words tuu bila kufanya chochote cha kuonyesha.
 
Sikumbuki kama nmeshasoma thread so informative kuanzia huu mwaka uanze hapa jf kama hii, nimebaki kua msomaji tu mana naona sina mawazo bora zaidi ya haya waliyoyachangia wachangiaji wenzangu. RESPECT!
 
Bro elewa kitu kimoja , msingi wa computer science na engineering haubadiliki, kinachotokea ni idea mpya zinavumbuliwa na watafiti na kuongezwa juu ya zile zilizopo ,kinachobadilika ni mazao yanayotakana na msingi huu, mambo kama frameworks na programming languages ni mazao ya msingi huo, wenye huo msingi wanajua kinachofanyika na hawapati tabu yanapotokea mabadiliko infact wao ndio wanayaleta mabadiliko , ambao hawana msingi huo wanabaki kutapatapa kukariri sababu hawana msingi.
msingi upi wa computer science ambao mtu kuupata ni lazima aende chuo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom