Kujifunza programming bila kwenda chuo

Kujifunza programming bila kwenda chuo

CHA KUFANYA KILA MTU AJE NA BIG PROJECT YAKE SIO MIPASHO YA KIMBUZI MABOYA NYIE
 
Utakula jeuri yako.
Nina miaka 10 kazini sasa na for all that time sijafanya kazi nje ya IT Department,sasa ww endelea kujipa moyo ukidhani mimi ni size yako.
IT department ina mambo mengi , bilas shaka utakua ni data entry officer. Zaidi ya hapo kampuni kubwa siku hizi zinatofautisha IT na engineering department.kuna tofauti kubwa sana kati ya information systems officer na computer scientist/ engineer.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi,mimi ni mtaalamu wa MS Office especially Word.

Kazi njema Software Engineer.
 
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor na uwepo wa supporting community kama inayopatikana chuo.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Sijawahi kwenda chuo kujifunza programming lakini kipindi niko A-level kuna wanachuo wanaosoma programming & IT walikua wananiomba nikawasaidie projects za computer programming(Both front end na backend) na wengine hata humu wamo. Sasa nashangaa unavyoongea kwa generalization hivo.

Ulichosema hapo juu ni zero kabisa. Programming sio kwenda chuoni wala kutoenda chuoni. Programming inahitaji tu uwe na Passion na uwe mpenzi wa kujifunza.
 
Ndivyo mnavyojipa moyo lakn mjue tu ukweli kwamba you guys are at the bottom of the hierarchy, endeleeni na kazi zenu za front end web dev, bcoz u cant move past that.
We jamaa unatia hasira sana hata najuta sijui kwa nini nimefungua kusoma huu uzi. Watu hatujaenda chuo lkn tunaweza kujifunza wenyewe vitu complicated kama A.I na IoT afu unakuja kusema wasioenda chuo wataishia front end.

Ngoja nikupuuze tu.
 
Achana nae huyo ana mawazo mgando
We jamaa unatia hasira sana hata najuta sijui kwa nini nimefungua kusoma huu uzi. Watu hatujaenda chuo lkn tunaweza kujifunza wenyewe vitu complicated kama A.I na IoT afu unakuja kusema wasioenda chuo wataishia front end.
Ngoja nikupuuze tu.
 
U
Nashukuru kwa ufafanuzi,mimi ni mtaalamu wa MS Office especially Word.

Kazi njema Software Engineer.
Unaona sasa nilijua tu ,yan mtu anashughulika na na excel na word eti na yy anakuja kubishana uku, aisee!
 
i
We jamaa unatia hasira sana hata najuta sijui kwa nini nimefungua kusoma huu uzi. Watu hatujaenda chuo lkn tunaweza kujifunza wenyewe vitu complicated kama A.I na IoT afu unakuja kusema wasioenda chuo wataishia front end.

Ngoja nikupuuze tu.
Sawa lakini kaa ukijua you are just a programmer and not an engineer/ scientist, na kama ni programming ata mtt wa miaka kumi anaweza kuwa programmer na tena wapo wengi, hauko accredited na professional body/ organization yyt ile ,umeji accredit mwenyewe na wanaokutambua ni wenzako mtaani
 
Kumeibuka wimbi la watu kujifunza programming na kujiaminisha kwamba jambo hili linawezekana .ukweli ni kwamba wengi wanaopitia njia hii wanakosa foundation ya CS na wanajikuta wamekariri tu programming languages na namna ya kutumia library kufanya wanayo kusudia.no wonder wengi wanopitia njia hii wameishia kwenye web development tena frontend.ukiwapeleka kwenye vitu technical zaidi vinavyohitaji kuelewa concept za ndani za programming na mambo ya ds na algorithms asee utawaona wana haha.

Ushauri wangu ni kuwa japokuwa resources za kujifunza misingi ya cs zimejaaa mtandaoni , ni ngum mno kuji commit kuhakikisha unajifunza na kuelewa wewe mwenyewe bila usaidizi wa mentor na uwepo wa supporting community kama inayopatikana chuo.

Kwaiyo kama una interest na CS na tech kwa ujumla, UDSM CS/CE, UDOM SE,DIT CE. (Sijui kama wana CS.)
MAKERERE CS/CE, Uni of Nairobi CS,
JKUAT CS. na SUA informatics( sina uhakika na course content yao ila naskia ni CS /CE oriented
na sio IT oriented). Usiende vyuo vya mbuzi ati sijui open university ,
Ruco etc utapoteza muda!
Nilichogundua hapa unalalamikia ushindani uliopo kwenye soko la ajira.
 
Nilichogundua hapa unalalamikia ushindani uliopo kwenye soko la ajira.
Mkuu hii ni field ambayo haijawai na haitowai kuwa na ushindani, hata mareakni na ulaya kuna shortage kubwa ya watu wenye skills pamoja na kwamba kauli mbiu iliopo kwenye soko la ajira huko ni " learn to code". Jamaa wamegundua kuwa hawa self taught hamna kitu ndo maana japo kila siku wanajiunga kwenye bootcamps kujifunza code lakn bado kuna shortage.

Hata kibongo bongo ushindani haupo sabab kila mtu anaogopa ugumu wa kijifunza mambo inavyotakiwa anaamua kupitia shortcut, juzi apa jamaa angu mwenye b.s software engineering ya udom kaitwa job kampuni moja iko mikocheni .jamaa hana experience kiivo kwenye development lakn waliona ni bora kumuamini yy sabab walijichanganya wakaajiri self taught mmoja hivi mwenye vi app vya show off playstore, kufika wakagundua hamna kitu,wamemtimua jamaa angu kalamba job kiulaini.
 
It's okay, you can feel good about your CS degree, but don't invalidate others just because they didn't sit in class for 3-4yrs kupata approval kuwa ni developers. You are entitled to your opinion but presenting them as facts without backing them up is not how to do it. You still haven't mentioned one thing that someone can't learn on their own.

I have a degree too and it's useless, I've worked with people with and without degrees, and my opinions and views come from those experiences. If people choose to do frontend then there's a market for it driving that demand, not because it's easy etc(which are also opinions). Next few years kutakuwa na another wave of technologies, and self-taught people will jump into it and be good at it while you'll still be patting yourself in the back that you have a degree so your foundations are worth more.

Your degree doesn't mean you have any expertise. People have expertise in Security, Data science, Machine learning etc and their PhD. Those are areas where barrier to entry isn't as low as programming, and even those are changing with courses taught on Coursera or Udacity by experts from Google, Facebook etc at very low costs of $1000-$2000 na kuna scholarships, compare that to 10yrs ago where you needed way more money than that to even get a foot into these fields, hapo bado adding getting real works assistance and examples from tech giants. I'll take someone who taught themselves that and have done projects they can show off than your certificate showing you have a degree. You best believe these resources will get cheaper and cheaper until they are free, and you'll have even more self-taught data scientists, security engineers(which already is a thing, most hackers are self-taught) etc wakati unabaki na "but they don't have degrees"

And let's assume we think like you kuwa you need degree, how do you value it? Degree ya UD is better than ya UDOM? And who is a better programmer hapo au because they all have degrees they are all experts?
Damn!You are smart.
 
We jamaa unatia hasira sana hata najuta sijui kwa nini nimefungua kusoma huu uzi. Watu hatujaenda chuo lkn tunaweza kujifunza wenyewe vitu complicated kama A.I na IoT afu unakuja kusema wasioenda chuo wataishia front end.

Ngoja nikupuuze tu.
Nina rafiki zangu wawili ni mifano mizuri sana,ile tunaanza tu chuo jamaa wanajua vizuri sana kucode.

Wa kwanza alijifunza mwenyewe akiwa form five mpaka six sababu kaka yake alikuwa akisoma UDSM CS at the time nae akatokea kupenda,ila kaka yake hajawahi kuwa programmer mpaka muda huu coz hakuwa interested sana na programming.Huyu mtu mpaka tunamaliza third year alikuwa anajua lugha nyingi sana ambazo hazikuwa kwenye mtaala kabisa na mpaka leo ni untouchable anasimamia program kubwa sana.

Wa pili,huyu sijui hata alijifunzia wapi maana alikuja chuo akiwa kama mimi tu ila mpaka tunamliza first year alikuwa anajua lugha nyingine kabisa tofauti na zile tulikuwa tumefundishwa mpaka muda huo.Huyu mpaka tunakaribia kuhitimu third year alikuwa ameajiriwa tayari kama senior developer kazi iliyomfanya awe busy to point wakati anatakiwa afanye supp zake alikuwa Holand kikazi na todate jamaa hakuwa kurudi kufanya hiyo mitihani na kaajiriwa na zaidi ya kampuni tano mpaka sasa.

Ukiangalia kwa makini hiyo mifano miwili hakuna hata mmoja ambaye alipata skills kupitia walimu wetu wa chuo bali passion na kujituma binafsi.
 
U
Unaona sasa nilijua tu ,yan mtu anashughulika na na excel na word eti na yy anakuja kubishana uku, aisee!
Ulivyo zuzu unategemea kabisa nitakuambia nafanya ishu gani ?nilishakuona wewe ni mtoto na mgeni kwenye hizi shughuli.
Huwa hamkawii kuanza kuomba kazi humu,jitahidi tu uwe na kumbukumbu na ujue kuna mabosi wako watarajiwa kama sio wa sasa humu.
Tushajadili sana haya mambo hapa kabla hata hujajua JF ni kitu gani so seat down your ass and watch.
 
Ulichokisema ndicho hicho wala huwezi kubadilsha mpk uka specify kwamba wewe ni mtaalam wa office upande wa word , of which ndo kazi kuu za watu wa IT.psychology ya binadamu ni nyepes sana. What u say tells who u are,bloodbastard!
 
Ulichokisema ndicho hicho wala huwezi kubadilsha mpk uka specify kwamba wewe ni mtaalam wa office upande wa excel , of which ndo kazi kuu za watu wa IT.psychology ya binadamu ni nyepes sana. What u say tells who u are,bloodbastard!
😂 😂 😂 😂 ,wewe litoto ni libishi sijapata kuona.

Sawa naomba nijitoe kwenye league yako,it's not my level.
 
We nae nilidhani kweli ni developer kumbe mbumbumbu tu, yan unaona jamaa anatoa hoja za uongo kabisa kuhusu Instagram na ww unamuunga mkono wakat ushahidi uko nje nje ,

Sasa dogo mbona hujishtukii Uzi mzima Upo pekee yako kazi kutukana Wakubwa zako
Haya Basi Umeshinda watu hatutajifunza Tena Online tutaenda Vyuoni.....Na hao wanaokufundisha Vyuoni nao Walisoma Vyuoni na hata Waliowafundisha pia Walisoma Vyuoni (Infinite Regression)

Hata Newton Alifundishwa Law of Gravity chuoni kwa sababu Binadam Hana uwezo wa Kujifunza kufanya kitu kikubwa yeye mweyewe bila kufundishwa

PIMBI WEWE!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom