Ni juzi tu rais Magufuli alitoa amri ya kutoondolewa kwa wamachinga sehemu ambazo walikuwa wanafanya biashara zao maeneo ya katikati ya mji ususan mji wa Mwanza. Kwa kuitikia amri yake jana mji wa Bukoba na Mwanza watu wameanza kujenga vibanda vyao pembezoni mwa barabara na kupanga vitu mbele ya maduka ya wafanyabiashara waliosajiliwa na wanaolipa kodi zote.
Hii siyo tu imewakatisha tamaa watendaji wa chini ambao hawatafanya maamuzi tena bali pia imetoa funzo kwamba kiongozi mkuu wa nchi hutakiwi kuwa wa kwanza kutoa kauli kwenye masuala nyeti kama haya, angesubiri "nyoka" wake waseme kwanza yeye amalizie baada ya kuona consequeces.
Pamoja na maelezo yangu hapo juu mimi naona chanzo cha maamuzi haya ni lack of exposure kwa kutotembelea nchi zilizoendelea kuona miji yao imepangwa je na kujifunza hao matching guys wanakuwa treated namna gani. Kwa kuwa yeye ameamua kuwa waziri wa mipango miji namshauri atembelee nchi mbalimbali zilizoendelea ajifunze kama matching guys wanajenga vibanda kila mahali au la.
Nawakilisha wanabodi