Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

Habarini, nina swali nimemaliza clinical medicine mwaka huu nina GPA ya Tano. Nataka kujiendeleza MD bahati mbaya nafasi za MD Serikalini kumejaa na private siwezi kumudu ada, nauliza mwakani nikiapply naweza kupata chuo kama MUHAS na kuhusu mkopo kuna uwezekano wa kupata?

O level nina dv 2 ya 21 phy D, chem C , bios C na maths D .
Umesoma chuo gani?
 
Wewe omba ndugu yangu hapo MUHAS unapata na mkopo juu, Usisikilize sana hao watu wanaokuogopesha kuwa Muhas ni pagumu hakuna ugumu wowote ule mimi kuna jamaa yangu tumemaliza nae O level alipata Div Four ya 26 kipindi cha Kikwete ile wanafunzi walivyofeli sana hadi wakafanya kutoa matokeo mara ya pili bado akabaki na iyo Four ya 26 akaenda zake Certificate akapiga na Diploma akaomba hapo MUHAS akapata na mkopo walimpa alivyofika hapo akawa ndio class leader kwenye masuala ya taaluma mwisho ameacha historia hapo MUHAS alitoka na Gpa kali hadi wakampa offer abaki hapo Muhimbili hospital ila alipata fursa fulani yupo Botswana huko saivi Hospitali nyeti ya vigogo wa serikali anakula maisha tu safari za nje ni kugusa anakuwa hadi kwenye safari ya mkubwa wa nchi na kwa mwezi ananiambia anakunja Si chini ya 25M
 
Ni sahihi kabisa Mimi chuo nilichosomea Diploma yangu Kuna watu wengi tu wameenda muhas na wanachanja mbunga now mwaka wa tatu na wengine walimaliza mwkaa Jana... na cheti Cha four walipata four za 26 ila walipiga D flat kwnye masomo ya Phy, chem,bios, math
 
Hivi hii ni kwelii?

Maana nilishangaa mshikaji mmoja karibia kila CAT anapiga zake GPA ya 2.0 havuki hapo wala hashuki hapo.

Cha kushangaza paper la mwisho mwaka wa tatu kakunja GPA ya 4.7
Usenge mtupu hii imefavor wengi na pia imenyonga wengi.
 
Mmmh GPA ya 5, chuo gani mkuu??
Inawezekana Man kwanza mtaala wao ulibadilika walibaki na masomo 4 pekee na pia semista ya ndani vyuo kama lugalo na vingine vya private hawabaniwi kabisa ili wapigie GPA kubwa iwasaidie semista ya mwisho. 2021 kama sikosei hapo Lugalo wa mwisho alikua na GPA ya 4.3
 
Wanafunzi wengi wanakimbilia MD either kutaka sifa mtaani kwamba mfulani ni daktari au wanadhani madaktari wanalipwa pesa nyingi sana, kumbe msharaha haujawahi kutosha mkuu. kama umeamua kusoma MD soma kwa ajili ya passion tu sio kutafuta sifa za kijinga.
Kiufupi kwasasa udaktari ni ualimu uliochangamka ili upate hela utateseka hasa.
 
Usiende acha kukaza kichwa eti utamtegemea Mungu kwani wengine watamtegemea shetani. Nenda vyuo vingine kwanza uwezekano wa MUHAS kukuchagua ni mdogo.
Unajua kwanini vyuo huwa vinalimit intake ya kutoka diploma? Sababu ni hizo GPA zenu, na MUHAS ndio kabisa wanatoa nafasi chache zaidi kwa diploma
Slot hazizid 20 sasa jiulize inakuaje.
 
Wewe omba ndugu yangu hapo MUHAS unapata na mkopo juu, Usisikilize sana hao watu wanaokuogopesha kuwa Muhas ni pagumu hakuna ugumu wowote ule mimi kuna jamaa yangu tumemaliza nae O level alipata Div Four ya 26 kipindi cha Kikwete ile wanafunzi walivyofeli sana hadi wakafanya kutoa matokeo mara ya pili bado akabaki na iyo Four ya 26 akaenda zake Certificate akapiga na Diploma akaomba hapo MUHAS akapata na mkopo walimpa alivyofika hapo akawa ndio class leader kwenye masuala ya taaluma mwisho ameacha historia hapo MUHAS alitoka na Gpa kali hadi wakampa offer abaki hapo Muhimbili hospital ila alipata fursa fulani yupo Botswana huko saivi Hospitali nyeti ya vigogo wa serikali anakula maisha tu safari za nje ni kugusa anakuwa hadi kwenye safari ya mkubwa wa nchi na kwa mwezi ananiambia anakunja Si chini ya 25M
Shukrani sana🙏🙏🙏
 
Sema Kuna wadau Wana chuki na wivu (asili ya black race)

kijana we pambania ndoto zako Kuna vipanga wanatoka form six na 1 Kali ....maana mpaka mtu kupata nafasi MUHAS sio masihara unatakiwa uwe umepasua kweli na wanapata disco wanagraduate na GPA mbovu wanaishia kuwa General physician wanatupwa huku TAMISEMI huku vipanga wakibonda specialization

Haimanishi kwamba kwa sababu umepitia Diploma huna akili (kama yalivyo mawazo ya wengi)

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
Kanda gani chuo ulicho kuwa ukisoma?

Maana siku hizi nasikia wanatoa matokea kikanda.
Kikanda?!!

Ina maana hii kada imefurika kiasi hiki, yaani vyuo ni kama shule za kata kiasi mpaka matokeo yatoke kikanda?
 
Now CO ndugu ni hatari,ona hata kwenye mikopo ya diploma CO haipo kwenye vipaumbele.
 
Back
Top Bottom