Kujiendeleza kielimu

Born Star

JF-Expert Member
Oct 24, 2011
365
256
Nina elimu ndogo ya darasa la saba lakini nataka kujiendeleza kitu kinachonitatiza ni muda siku nzima nakuwa kazini. Sasa nataka niwe najisomea usiku ili nifanye qt sasa naomba ushauri ninunue vitabu gani au online books mtandao gani vipo ambavyo vitanisaidia na je inawezekana kama nikifaulu qt kuendelea kusomea nyumbani ili kufanya mtihani wa form 4 msaada wenu ndio mwanga kwangu pleas help me
 
Sio masomo yote unayoweza kupata material (Civics ni mfano mzuri) kwa ajili ya mtaala wa kwetu, na hakuna site moja ambayo utapata vitu vyote vikiwa bundled pale. Kulingana na somo na topic ndio utakavyoweza kusaidika -- mf. kama ni Geography, Chemistry, Biology, etc. Ukishajua unataka nini, then hicho ndicho utakachokitafuta kwa kutumia search engines zilizopo mf. Google search.

Kwa kuanzia hawa watu wa TANEDU wamefanya kazi kiasi ya kukusanya baadhi na material. Kila la kheri
 
nashukuru ndugu yangu
 
Back
Top Bottom