Kujichua Vs Uzinifu 🤔

Kujichua Vs Uzinifu 🤔

Vyote vibaya ila kama huna Mweza kabisa kuliko kununua ukimwi na upuuzi mwingine bora ukwee mnazi kama umeshindwa kabisa
 
Hadi mimi mjukuu, I do it mara moja moja hali ikiwa tete. Nitajie wapi kwenye Bible nyeto imetajwa, qur an siijui so sina uhakika huko wanasemaje.
Kwenye bible ngoja nitatafuta babu kama ipo nitaweka lakini sina uhakika🤣🤣 labda hii maada niliiandika nikiwa na upwiruu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom