Kujichua Vs Uzinifu πŸ€”

Hata Adamu alikuwa akijichua kabla ya kuletewa Eva. Ni starehe aliyoiweka Mungu huwezi kuikwepa, hao wanaojifanya hawafanyi tendo la ndoa au kujichua ni wanafiki. Mf. Mwanaume yule jamaa akiuliza swali unatakiwa umpe jibu. Ila sio kulazimisha, ni maelewano.
 
Hata Adamu alikuwa akijichua kabla ya kuletewa Eva.
Mmh hii unaweza kuithibitisha?
Ni starehe aliyoiweka Mungu huwezi kuikwepa, hao wanaojifanya hawafanyi tendo la ndoa au kujichua ni wanafiki. Mf. Mwanaume yule jamaa akiuliza swali unatakiwa umpe jibu. Ila sio kulazimisha, ni maelewano.
Aiseeee
 
Adamu alijichua mpaka Mungu akamuonea huruma, ndipo kumletea Eva.
 
Kujichua(Punyeto) hakuna mahali kwenye Bible ilipoandikwa, hivyo siyo dhambi.
nafikiri ifanywe kwa kiasi tu.

● Dhambi inategemeana na imani ya mtu au vitabu vya dini vilivyokataza.

mfano, uwongo ni dhambi, ila uongo ukitumika kwenye siasa inakuwa propaganda.
 
Kujichua(Punyeto) hakuna mahali kwenye Bible ilipoandikwa, hivyo siyo dhambi.
nafikiri ifanywe kwa kiasi tu.
Kitombise unaonekana wewe ni mdau mkubwa
● Dhambi inategemeana na imani ya mtu au vitabu vya dini vilivyokataza.

mfano, uwongo ni dhambi, ila uongo ukitumika kwenye siasa inakuwa propaganda.
Sawaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…