badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
sure.. Punyeto ni sawa na genye zikizidi wanaenda ambiance na kwingineko kwa dada poa. kwani wewe hujui mwanaume huwa hakosei??
hahhaha,kwa hizi lawama wanazotoa humu,kweli wao hawakosei..
sure.. Punyeto ni sawa na genye zikizidi wanaenda ambiance na kwingineko kwa dada poa. kwani wewe hujui mwanaume huwa hakosei??
Soma sababu nilizozi mention hapo juu
Hahaha Kilometa unajivutia kwako sio? Unajua hivi vitu bwana inapotokea haina jinsi na appreciate kujichua kuliko papuchi yangu iwe mali ya uma
Ila punyeto ni kujiamini kwa mtt wa kiume?
Researches nyingi zinaonyesha WASICHANA wanapiga PUNYETO zaidi ya WAVULANA lkn wengi wao huwa hawapo huru kusema kama wanavyofanya WAVULANA!
Punyeto haina madhara ama kwa WAVULANA au kwa WASICHANA
eh mola......
Ndio........
Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a a little help from ur hand (kupiga puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko comfortable kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia .wakati mwingine mtu unashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mapaka upige moja ndio nguvu zinakuja hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Kujichua au kujichezea ni njia pekee ya kujifunza kufika kileleni, kuujua na kuuelewa mwili wako na kujua utamu wa ngono ukoje(incase hujui utamu huo ukoje). Kwa kujichua utajua jinsi kutoa na kupokea raha ya kufanya mapenzi na mpenzi wako, utasaidia ngozi yako kuwa nzuri na laini (mambo ya Urembo hayo) na vilevile utajua jinsi ya kuzuia (kuchelewa kwa makusudi kufikia mshindo) au kumsubiri mwenzio ili mfike pamoja, hakuna raha ya kufanya mapenzi kama kufika kwa wakati mmoja.
Faida za kujichua/chezea:-
1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)
2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanyamapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3)Kujua vipele vyako viliko.
4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.
*Kama kuna faida nyingine unaijua basi si mbaya kama utachangia hapa.
Madhara ya kujichua/chezea:-
1)Sijawahi kushuhudia wala kusikia tatizo lolote kutokana na kujichaua kiasili.
2)Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos ni kusamburuka kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea dubwana hizo, kifo kutokana na shock ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo kuingia.
Ikiwa kuna madhara mengine unayajua kuhusiana basi ni vema ukachangia hapa
Tchaooooo
Karibia kila kitu kikifanywa na mtu mwenye jinsia ya kike kwako kitakuwa na kasoro tu, eti?
hapo chacha ndo ile raha jipe mwenyewe
Kama Hujawahi kusalitiwa u are so lucky!!
Hao wanaume wenyewe hawawezi kutufikisha kileleni,tunabaki tunasumbuka na minyege tu,
We unafikiri tunaojichua kwa hizo sababu tufanyeje??