Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,670
Rapunzel hapo kwenye red wanasema mlamba asali huchonga mzinga na pia bandu bandu huisha gogo huenda huo ukawa mwanzo tu wa wewe kuwa addicted so you better stop before itss to late.
kwenye green ni kweli kuna mambo mengi tunayoyafanya ingawa Mungu hapendi na yeye analielewa hilo na yuko tayari kutusamehe lakini tu ikiwa makosa hayo hatuyafanyi kimakusudi na tunajitahidid kupambana na mielekeo ya dhambi,kwa hiyo tuelewe kuwa ikiwa tunatenda dhambi pasipo kujua au kutokana tu na mapungufu yetu sisi wandamu Mungu yuko tayari kabisa kutusamehe,lakini ikiwa tunatenda kwa kujua kabisa hilo ni swala jingine.
penye pink mimi nafikiri kila jambo lina uzito wake,mume akikufuma unajiridhisha itamuumiza sana na kumshushia hadhi yake kama mwanaume atabaki na maswali kama vile ina maana mimi simridhishi? na hata hilo linaweza kumfanya awe na wasiwasi juu yako kwamba kwa kuanza kujichua huenda kuna siku utaamua kabisa kuwa na mwanaume anayekuridhisha kwa kuwa yeye hakutoshelezi mahitaji yako na pia uasherati una uzito pia kwani mume atajisikia vibaya kuona kuwa anashare na mtu mwingine mke wake mpendwa na kuanzia hapo nadhani hatakuwa tena na imani nawe tena na kama unavyojua huenda ikapelekea kuvunjika kwa ndoa.so kila jambo lina uzito wake.
kwa hiyo Rapunzel ni vyema ikiwa ukajitahidi kuacha,najua hilo si jambo rahisi lakini unaweza ukitaka na si lazima uache papo kwa hapo unaweza kupunguza kidogo kidogo mpaka ukajikuta umeacha kabisa na hata ushindwe mara ngapi usife moyo you can do it i wish you the best Rapunzel.

Blue G nikujibu ifuatavyo:-
Kwanza kabisa sijakuwa addicted mpk nipoteze hamu ya kufanya mapenzi.
Tukija kwa upande wa dhambi hakuna mambo mabaya ambayo yanampendeza mungu but still binadamu tunayafanya japo inategemea na uzito wa dhambi yenyewe ,kuna ulevi ,uzinzi tena mbaya zaidi na wake au waume za watu but still wanadamu tunafanya.
Nashukuru kwa kunipa mawazo nitafute njia mbadala pindi my hubby asipokuwepo but sijajua ni njia ipi zaidi ya hiyo
Na je ukifumwa unajichua na kufumaniwa na mwanaume mwingine lipi kosa lenye uzito hapo?
Last edited by a moderator: